bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar: Ajali ya mchezaji wa simba Che Malone yaua dereva wa bodaboda

    Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi. Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
  2. Nisaidieni kupaza hii sauti iwafikie Wakuu wa Nchi, Sakata la bodaboda Dodoma ni zaidi ya mateso kwa vijana wetu

    Habari wakuu, Naandika huu ujumbe kwa maumivu makali sana, kilio simanzi na maumivu yasiyoelezeka, Nilishawahi kuleta mada hii hapa jukwaani bahati mbaya sana haikupata wadau wengi, haikupata wachangiaji na mwisho wa siku uzi wangu ulifunikwa na nyuzi za vichekesho, vibonzo na stori za...
  3. Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    NI kweli BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI Statistics zaonyesha hivi
  4. Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

    Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda. Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
  5. Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  6. U

    Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
  7. Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

    Dear Money Penny YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni. Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta. Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu. Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO...
  8. Kwahiyo kama Taifa tumekubali kuwa bodaboda ni kazi rasmi?

    Habari! Kila kona kijiwe cha bodaboda. Kila kwenye kauwazi kijiwe cha bodaboda. Haya ndiyo maendeleo? Kwamba watu hawana mawazo mbadala zaidi ya kuwa bodaboda? Kwamba serikali imehalalisha bodaboda kuwa ajira rasmi? Watozwe kodi basi kama ni ajira rasmi. Wazee kwa vijana sasa wamekuwa...
  9. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  10. D

    Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  11. TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji...
  12. Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  13. TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    Bodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote. ---- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali...
  14. J

    Bodaboda wamtuma Mjema kwa Rais Samia

    BODABODA WAMTUMA MJEMA KWA SAMIA VIONGOZI wa Shirikisho la Waendesha Bodaboda Tanzania, leo Agosti 9, 2023 wamefika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kuzungumza na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndg. Sophia Mjema. Viongozi hao walimuomba Ndg. Mjema...
  15. Askari wa Usalama barabarani mmeshindwa kuwadhibiti bodaboda wanaotoa side mirror?

    Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
  16. Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

    Aiseeh usafiri wa boda ni hatari, hawa ndugu zetu hawapo makini kabisa sheria za usalama barabarani hawazifuati kabisa. Nimeshuhudia ajali ya hapa Chang’ombe Temeke, boda kapingwa na gari mlio umesikika mithiri ya bomu. Huyu boda angekufa kwa uzembe wake yeye mwenyewe, taa za barabarani...
  17. Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  18. Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023. Tukio la wizi lilivyokuwa Dada mmoja...
  19. M

    Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

    WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media. Kwa miaka...
  20. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…