bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  2. Bodaboda zinatudhalilisha sema basi tu hatuna jinsi

    Hakuna kitu kinakera kama kupakiwa mshikaki,kwanza kuna hali fulani si ya kupendeza unakuta mke wa mtu kakaliwa nyuma na jamaa pale lazima jamaa liskie joto lake au shanga zake na kuvuta hisia. Kero nyingine ni kile kitendo wanaume mnatangulizana halafu zote njemba hiyo kitu huwa siikubali hata...
  3. Kwa jinsi pikipiki zinavozidi kupoteza wapendwa wetu sijui kwanini serikali iliona kama ni biashara

    Nimepoteza mtu naye mfahamu leo huko Mwanza na mtumishi ambaye bado tunamuhitaji. Yote haya kila siku tukizidi kupoteza ndugu zetu na wengine kuwa walemavu wa maisha sababu ya hizi pikipiki. Serikali hakuna mazingira mazuri ambayo yamempa mwendesha chombo cha pikipiki husasani hawa bodaboda...
  4. Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  5. Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  6. Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

    Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe. Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu...
  7. PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  8. Jambo gani la ajabu kushuhudiwa likifanywa na bodaboda?

    Mwaka mmoja nilifika eneo moja hapo Morogoro, njia ya Dodoma kabla hujafika mizani, sasa mwenyeji wangu alinambia nikishuka kwa bajaji nichukue boda mpaka kwake, sasa kama kawaida bajaji umesimama tu boda kibao hizi hapa nikadandia moja chap nikampa maelekezo akaanza yafuata, barabarani jamaa...
  9. Bodaboda wasajiliwe kama biashara rasmi wakiwekewa mazingira mazuri

    Bodaboda hesabu ni 7000 kwa siku akiamuka mapema akajihimu asubuhi Mpaka kufikia saa 4 ashafikisha hata 10000 mchana na usiku ana weza kufikisha 30000. Kama akicheza michezo yao ile ya kuwekeana hela kwa mwaka ana weza kununua bodaboda nyingine mbili ambazo ataajiri watu wengine. Bodaboda...
  10. KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  11. Mgomo wa maafisa Usafirishaji (Bodaboda) utafananaje?

    Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje? Madai ya Maafisa; 1. Kamata kamata ya trafiki, 2. Bei ya mafuta kupanda, 3. Mikataba na wamiliki,
  12. K

    KERO Rushwa kwa bodaboda idhibitiwe, imekuwa kali sana

    Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
  13. SoC04 Abiria wa bodaboda wawajibike kulipa faini ya kutovaa helmet kama wanavyowajibishwa madereva

    Katika kuangalia usawa na udhibiti kwa ndugu zetu wanaoendesha vyombo vya moto vya pikipiki maarufu bodaboda nimeona tatizo halipo kwa madereva tu bali hata kwa abiria wao, mfano unakuta abiria anataka usafiri anapewa helmet ajikinge ama kupunguza madhara ya ajali endapo ikitokea abiria huyu...
  14. Mussa Azzan Zungu asema Bodaboda wakipunguza matumizi ya pombe kama Sungura, ajali zitapungua pia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
  15. R

    Bodaboda acheni undumilakuwili kwenye siasa, kuweni na msimamo, saa ya Ukombozi ni sasa!!

    Salaam, Shalom!! Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta? Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa? Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
  16. Aliyepotelewa na Pesa amtafute huyu Dereva wa Bodaboda Jijini Dar

  17. KERO Baada ya kuanza kwa safari za SGR, hizi ni changamoto zake zilizojitokeza

    Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo. Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya wa tickets unaowagonganisha watu kwenye siti moja ndani ya behewa moja lakini pia huduma duni ndani...
  18. Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka miwili barabarani, nina Leseni ya udreva iliyo ndani ya muda. Nafanya kazi kwa uaminifu...
  19. Ila bodaboda ni baala!

    Wao wanajiita maafisa usafirishaji.Wana visa sana
  20. Bodaboda zimekuwa nyingi, vifo vinavyotokana na ajali vimekuwa ni vingi mno

    Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno. Nashauri Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…