black

  1. Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  2. A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma

    A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma A man attacks a woman in France, until the woman body-slams him in self-defense.
  3. Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

    Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T. Sankara, P. Lumumba, Kit Harington, Charlie Cox, Nyerere, fidel Castro, Luck Dube,JPM, Jidenna, Runtown...
  4. Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa ===================== Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone...
  5. Tanganyika black people hawakuwa Citizens

    Hivi nini Watanzania hujiita Watanganyikwa wakati ukweli ni kwamba hawakuwa raia wa Tanganyika? Wahindi na Waarabu ndio waliokuwa citizens wa nchi ya Tanganyika. Mtu mweusi amepata citizenship mara ya kwanza baada ya 1961. Sasa kwa nini mnajiita Watanganyika wakati hamjawahi kuwa citizens wa...
  6. Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  7. Ukraine walipua makao makuu ya jeshi la wanamaji la Urusi pale Crimea - Black Sea Fleet headquarters

    Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale.... A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed. Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based...
  8. Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  9. Black Madonna: A mysterious statue of virgin Mary

    Wasalaam wana JF Wanasema kuwa uyaone. Katika pitapita zangu kwenye maandishi na vipindi mahususi vya runinga nilipata kusoma na kuona mjadala kuhusu rangi ya bikira Maria. Kuna sanamu iliyowekwa kwenye makanisa ya kale na awali yakionesha huyo mama kuwa alikua mtu mweusi. Black Madonna Uweusi...
  10. Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

    Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
  11. Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

    Ukrainian officials report that a large Russian support ship Vsevolod Bobrov has caught on fire somewhere in the Black Sea. Vsevolod Bobrov is a large ship (almost 10,000 tons displacement), and very new, entering service only last year.
  12. Red Ginger na Black tumeric

    Wakubwa salaam, Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
  13. M

    Black to black colonialism

    This kind of colonialism is amazing ni militarized kwenye utendaji ila ni Democratic kwenye kuchukua hatamu za uongozi. Sasa si bora nchi zenye Mapinduzi ya kijeshi hata kiongozi akijimwamba inakuwa sawa halali yake kuliko hawa kupe.
  14. The Greatness of Black Colour

    Black Colour (Rangi Nyeusi) - Ni Rangi inayoashiria Giza (Darkness). Kwa vizazi vya kale vya Ancient Egypt na Greece ni rangi inayorepresent Underworld. Kwa modern world, black colour ni rangi yenye maana nyingi mbalimbali, huku ikitumika kuwakilisha baadhi ya vitu kama Strength (Nguvu)...
  15. Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  16. Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27

    Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k Ukiisikiliza vizuri ngoma...
  17. Black Diamond Apples from Tibet

    Black Diamond Apples from Tibet The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
  18. Tafakuri: Message to all black Africans from Richard Smith

    The brutal words of Richard Smith, famous British guitarist, during an interview. I have been asked many times what I think of Africans, here is what I think of Africans, without language and without taboos. They sell everything to the highest bidder, even the land. Then they poison...
  19. Aliyeko Black & white Morogoro muda huu ani - DM tuinjoy free

    Wadau mlioko kiwanja hiki, black & white DM tupombeke free
  20. Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

    Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…