black

  1. Black Magic: Siri ya kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo. Kaburi ni kama...
  2. Oscar Oscar: Singida Black Stars watakuwa mabingwa NBC Premier League

    Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.
  3. Black skin always Black

  4. Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

    Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
  5. Singida Black Stars wana hoja wasikilizwe!

  6. TANZIA Connie Chiume: South African TV star dies aged 72

    Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several South African TV shows including Rhythm City, Zone 14 and most recently, Gomora. Chiume was a trained...
  7. Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida 2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19 3. Ni...
  8. If Joe Bidden was Black

    Sasa hivi angekuwa studio ana rekodi ngoma " WHO SHOT YA" . Just like what Biggie did in 1994 after Pac was shot at the Quad Studio premises.
  9. Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

    Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema. Naona wazi akichukua nafasi ya pili. Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni. Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena. Guede , Lyanga, Manura...
  10. C

    msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  11. Kuna mchoro Singida Black Stars tunauchora...

    Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu. Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain...
  12. Drone ya Kijasusi ya US imepotea kwenye rada huko Black Sea

    Drone ya upelelezi ya US imepotea kwenye rada wakati ikiendelea na jukumu la Kijasusi huko bahari nyeusi. Wachunguzi wa mambo wanasema Russia ameishusha na kupeleka kusikojulikana. #BREAKING: US drone Global hawk flying over black sea to collect intelligence of Russian naval fleet, got...
  13. Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  14. RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

    Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
  15. Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

    Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
  16. KERO Inaonekana Baadhi ya IP Addresses zinazotolewa na mtandao wa Tigo na Airtel zipo blacklisted (zina low reputation)

    Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo...
  17. Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  18. Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  19. R

    Wizara ya Fedha na BoT tuambie kwanini dola zimeruhusiwa kuuzwa kwenye black market?

    Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola. Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha hizi zinaletwa kwenye mifuko. Waagizaji mizigo wengi tunachofanya sasa hivi ni kununua dola kwenye...
  20. B

    Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

    Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…