black

  1. Je Kilichomponza Super Black ni ile kauli yake ya kuwa Wasomi waende VETA ?

    Super Black kweli alijisahau Sana Ila tumeamua kumsamehe.
  2. Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  3. M

    Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  4. Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  5. Gharama ya kuweka kioo Aquos sh-01k black

    Kwema wanajf, kwa yeyote anaejua gharama ya kueeka kioo kipya cha simu aina ya Aquos tajwa hapo juu naomba anisaidie .
  6. R

    Africa needs a second wave of Liberation/independence struggle against fellow Black colonialists

    Pieter Willem Botha, of South Africa, 1988. "Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they will kill themselves. Give them power, they will steal all the government money. Give them independence and...
  7. Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  8. Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  9. Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  10. Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  11. Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

    Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
  12. Black people hate everything about slavery except religion

    As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion. If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to themselves, we will not be having Christianity and Islam in Africa. But because you are now a christian or...
  13. Casting Captain America for Black Panther movie (parody)

    These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃) Tom Cruise John Depp Samuel Jackson Morgan Freeman The Rock Arnold Schwarzenegger Rambo The Taker Freelancer Dr. John Sins
  14. Mpingo: Black is beauty

    African Blackwood, mojawapo ya miti ghali na adimu zaidi duniani. Pia inajulikana kama "dhahabu nyeusi ya misitu". Rangi yake nyeusi kali na ugumu wa kipekee huifanya kuhitajika katika tasnia mbalimbali, kama vile utengenezaji wa vyombo vya muziki na fanicha nzuri. African Blackwood...
  15. Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  16. Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

    Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo. Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka. Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda...
  17. M

    Yaani wachezaji wa Yanga jana wako harusini halafu leo wanawafunga kizembe namna ile, kwanini tusiamini kuwa nyie mko kimkakati zaidi katıka hii ligi?

    Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani. Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10. Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata...
  18. Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  19. Ukiwa mweupe uvae nguo rangi zipi na zipi usivae, je ukiwa black?

    eti wakubwa mwongozo unasemaje huko kwenu?
  20. A

    Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

    Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…