Habari zenu wakuu..
Leo naomba niongee na wewe binti, dada au hata mama unaweza kumwambia binti yako. Dunia ya leo ni dunia ya kizazi kilichoharibiwa na shetani. Malezi yamekuwa mabovu kwa sababu ya ubusy wa maisha. Unakuta mtu single mama inabidi apambane kwa ajili ya mtoto wake ale, avae...