binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba...
  2. Video hii imegusa wengi, Tazama T-shirt ya Baba; binti amevaa joho lake. Kwake, Baba ndiye shujaa wake!

    Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya...
  3. Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  4. Binti kusafirishwa akiwa amefungwa Kamba kwenye basi Katavi – Moro, Polisi yatoa ufafanuzi

    Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519 DXH inayotokea Katavi Mpanda kwenda Morogoro ambalo limeondoka Dodoma asubuhi ya leo Oktoba 2...
  5. N

    Natafuta binti wa Dukani

    Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.
  6. Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

    Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano. Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?
  7. Ukiambiwa Binti yako yupo geto na msela usiharakishe kuingia

    Wakuu ni uhakika? Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu. Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa Mara jamaa mwingine kaja speed akimtafuta Bw j.Tukamuuliza kulikoni speed hivi mkuu? Akajibu asee namtafuta mr j binti...
  8. I

    Historia ya binti wa Kigiriki "MEDUSA"

    Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama Medusa machoni alikuwa akigeuzwa kuwa jiwe. Medusa alikuwa mmoja wa dada watatu waliitwa Gorgons...
  9. Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  10. Naona la tukio la Ali Kibao limeshatusahaulisha ghafla sakata la binti wa Yombo aliyeingiliwa kote kote na waliotumwa na Afande

    Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
  11. M

    Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
  12. M

    Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

    Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa inaonyesha kiu ya haki ilivyo kubwa miongoni mwa wananchi. Shauri hilo la malalamiko namba 23627 dhidi ya...
  13. A

    Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  14. Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  15. Binti

    Unavimba na pesa za kujiuza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🌳
  16. Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    Yuko nchi gani!? Uraia wake!? Anafanya Nini!? Anaongea lugha gani? Ni kweli Ni mkulima? Karibuni. JF hakipoi kitu. Najua Kuna watu Wana taarifa sahihi.
  17. Ukigundua kuwa mke au mpenzi uliyenae uliwahi kutoka na binti yake utafanyaje?

    Mnaopenda mishangazi, Kuna bwana abatoka na lishangazi fulani,kumbe miaka miwili iliyopita aliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa hilo lishangazi,na hawakuachana kwa ubaya, Bado ni marafiki,.
  18. Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  19. Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Wakuu salam, Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka binti yule. Mpaka sasa sijakutana na hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, na hata katika kuuliza kwa...
  20. Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

    Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao. Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu nimebaini kuhusu mashitaka walioshitakiwa nayo watuhumiwa maafande wa. Ubakaji. Kwenye mashitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…