binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  2. Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
  3. L

    Habari za vijana kujiajiri ni maneno matupu, vijana, Serikali na sekta binafsi tafuteni muarobaini wa ukosefu wa ajira

    Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili: 1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi) 2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine) Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
  4. Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

    Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
  5. J

    Je, Hayati Magufuli alikuwa anatekeleza Ilani ya CCM au alitenda kama mgombea binafsi japo kikatiba haipo?

    Kwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa. Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila aliwahi kusema kwa utendaji wa Magufuli ulivyo inabidi kianzishwe chama kingine kitakachoitwa...
  6. Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

    Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
  7. H

    Anayehitaji dereva binafsi

    Salaam wakuu, Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa kapata kijana msomi na smart wa kumuendesha😊. Contacts 0653737209 Gender: Male Age: 24
  8. K

    Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
  9. A

    Endelea kusonga: Je, umewahi kuwa na mazungumzo na nafsi yako?

    Je, Umewahi kuwa na mazungumzo na Nafsi yako? Ninachojua ni kuwa kwa kila mwanadamu jibu ni ndio, haswa wakati tunapokwama kwenye dhoruba kubwa na lazima tuchague njia moja ya kwenda mbele. Unajua wakati mambo yanapokwenda ndivyo sivyo sisi wengine tunapata vita kubwa sana katika nafsi zetu na...
  10. Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

    Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo. Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia. Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi. Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
  11. Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  12. Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  13. Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  14. B

    Dalili za Rushwa: Magari binafsi ya Traffic yanapotumika kukamata magari

    Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji. Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
  15. Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  16. TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  17. Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary? Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
  18. J

    Mzee Mwinyi: Nyerere alitaka pawepo mgombea binafsi lakini CC ya CCM ilimkatalia, pia CCM ilipinga vyama kuungana ikihofia itakufa

    Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
  19. J

    Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
  20. Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…