binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Private Maritime Security Companies (Makampuni Binafsi ya ulinzi wa meli)

    Private Maritime Security Companies (PMSC) haya ni makampuni binafsi ya ulinzi ambayo hukodiwa na mashirika ya meli, ambapo huweka walinzi (Security guards) wenye mafunzo maalumu kwenye meli na husafiri na meli kwa ajili ya ulinzi wa sehemu hatarishi na kuzuia wazamiaji, maharamia. Makampuni...
  2. Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

    Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu. Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo...
  3. Usafiri binafsi kwenda Moshi KiliMarathon Tar 23 jioni Kurudi 25 jioni

    Mambo vipi wakuu! Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni tar 25! Unaweza cheki na mimi for booking Thanks Update: Gari imejaa (full booked) ahsanteni
  4. Baadhi ya Taasisi za serikali na taasisi kubwa za binafsi acheni kuwadumaza na kuwarudisha kwenye umaskini wajasiriamali wadogo

    Kuna mambo yanaendelea kwenye nchi hii yanaonekana madogo lakini kadiri siku zinavyoenda yanaweza leta shida. Wote tunajua nchi yetu kama zilivyo nchi nyingi duniani ina uhaba mkubwa wa ajira. Tofauti na nchi kama China ni kuwa nchi karibu zote za Afrika zinaenda kuwa na tatizo kubwa zaidi...
  5. Ofisi ya Msajili Bodi ya Maabara Binafsi za Afya yasema inafanyia kazi Madai ya Maabara kutoa majibu ya Uongo

    ============= Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ni chombo chini ya Wizara ya Afya kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Usimamizi wa Maabara Binafsi za Afya ya Mwaka 1997 (Sura 136) kwa lengo la kusajili na kusimamia Maabara binafsi za Afya nchini. Ofisi ya Msajili Bodi ya...
  6. Fahamu: Mara nyingi Wabunge hupeleka maoni yao binafsi bungeni badala ya maoni ya wananchi

    Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla. Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika: “Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
  7. Ni muhimu kumfundisha mtoto kuwa, kila mtu ana haki ya kusema ndio au hapana pale mtu akitaka kuvuka mipaka yake binafsi

    Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
  8. S

    Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  9. Wamiliki vituo binafsi watakiwa kusimamia ubora wa huduma za Afya

    Na WAF - DAR ES SALAM Bodi ya ushauri hospital binafsi PHAB yatoa rai kwa Wamiliki, Mashirika yanayomiliki vituo Binafsi kuhakikisha yanasimamia ubora wa huduma za Afya, kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo ya Wizara ya Afya. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu...
  10. Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
  11. M

    Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  12. S

    Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  13. Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  14. Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  15. Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  16. Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

    Utasikia tu: Ndoa ni heshima kwa wazazi Ndoa ni heshima kwenye jamiii Ndoa ni heshima kanisani Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza Nitaonekanaje mtaani Nitawaaibisha wazazi wangu Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
  17. Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  18. R

    NHIF yakanusha kadi za wanachama kutotumika katika hospitali binafsi

    WIZARA YA AFYA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAA KUHUSU KUTOKUTUMIKA KWA KADI ZA WANACHAMA KATIKA VITUO BINAFSI Januari 07, 2024 Dar Es Salaam, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF), unakanusha taarifa za upotoshaji zinazosambaa...
  19. Hebu tuambizane, hospitali binafsi zimeanza mgomo baridi Kwa wanaotumia Bima za NHIF?

    Leo nimepeleka mtoto kwenye dispensary Jirani ambayo NHIF insurance accepted, cha kushangaza kufika reception naambiwa vitabu vya Bima vimejaa wanatibu Kwa cash tu. Sasa nauliza hii ni by coincidence au ndio wameamuwa kuwanyoosha NHIF kimyakimya Kwa style hii? Vipi wewe mtaani kwako...
  20. Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…