binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  2. Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  3. Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine. Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
  4. G

    Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  5. Sekta Binafsi Wakaribishwa Kuwekeza Katika Reli

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa. Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
  6. S

    Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

    Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi) swali. Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi? Ahsanten
  7. During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams

    "During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams" - Tupac. NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
  8. Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
  9. Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

    Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali.. Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
  10. Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki. NHIF amehusika kukuza hospitali...
  11. P

    Hospitali binafsi zinapotanguliza maslahi badala ya Afya za Watanzania

    Approach walioichukua watoa huduma za afya binafsi inashangaza na kusikitisha. Naona kabisa maslahi yakiwa na nguvu sana kuliko utu. --- Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzanja (Aphfta) kuhakikisha wanaheshimu leseni zao kwa kutoa...
  12. Muhimbili yaja na mpango wa dharura wa kuwahudumia wanachama wa NHIF watakaokosa huduma hospitali za binafsi

    Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kutoa huduma kwa wanachama hao ili waweze kuwa na mwendelezo wa huduma hizo. Mkurugenzi...
  13. Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima. Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia. Waziri wa Afya hatujamsikia...
  14. Kuna watu watafariki kwa mgongano huu wa NHIF na hospitali binafsi

    Kwa wateja wengi wa Bima hospitali binafsi ni kimbilio kwa ubora wa huduma zao ukifananisha na hospitali za serikali. Nakumbuka ndugu yangu mmoja alilazwa Temeke kwa dharura, hospitali ilikuwa inaomba kutumia vifaa vyetu kuwapima wagonjwa wengine wa pale. (Kwa ugonjwa uliotulaza kipimo chake...
  15. T

    Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
  16. APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  17. K

    Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  18. A

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya Waziri na NHIF yameshindwa kupata muafaka katika suala zima la kitita cha bei mpya zilizopendekezwa...
  19. A

    DOKEZO Mtendaji Kata ya Malindi anakodisha eneo la shule kwa maslahi binafsi

    Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi. Maeneo mengine machache amewapa walimu wa shule hiyo ili wasimuulize juu ya eneo la shule...
  20. Kitu kimoja ambacho CCM, CHADEMA na karibu vyama vyote wanakubaliana vyema ni kutotaka uwepo wa mgombea binafsi

    Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi. Bahati mbaya CCM wakalipindisha. CHADEMA nao katika kupigania kote tume huru ya uchaguzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…