binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, binadamu ni chakula cha anayeitwa Mungu?

    Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani? Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake. Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ...
  2. JamiiForums Tanzania Kila binadamu anamtegemea binadamu mwenzake. Usijione una akili sana

    Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu. Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi. Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu kwa dakika chache, lakini kuna kijana ambaye hajafika chuo anapiga solo la gitaa mpaka ukabaki...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

    Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50.. Chukulia mfano waajiliwa, Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli? Huu si wendawazimu? Alaf unasema umeishi? Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

    Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao . Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
  9. JamiiForums Tanzania Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

    Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena, Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani? Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani? Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Tusemeni tu ukweli ndege wanatupita akili na maarifa baadhi ya sisi binadamu?

    Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo tukubali maadili wametupita Tuje kwenye ujenzi ona bila ya shule ya uhandisi wala kuwa na vifaa vya...
  11. JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  12. JamiiForums Tanzania Sio binadamu wote wanajitafakari, kufikiri ni kipaji

    Ni kazi kubwa kumkomboa mtu anayefikiri kuna mchawi wa maisha yake kumbe mchawi ni yeye mwenyewe kayakoroga, mtu wa aina hii ni ngumu kuyatatua matatizo yake .
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu ni wanyama. Ni Binadamu wachache ambao ni Watu. Haya ndio mambo yanayokuonyesha wewe ni MTU au mnyama

    BINADAMU NI WANYAMA. NI BINADAMU WACHACHE AMBAO NI WATU. HAYA NDIO MAMBO YANAYOKUONYESHA WEWE NI MTU AU MNYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kuna dhana zinazochanganya wengi. Je Binadamu ni Mnyama au Mtu? Au vyote viwili. 2. Ili binadamu awe MTU itampasa awe na mambo Makuu yafuatayo...
  14. JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

    Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

    Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia? Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

    Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili. Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Mwili wa binadamu una dhahabu ndani yake, ila kwa kiwango kidogo sana

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasamambazwa na moja ya ukurasa wa facebook likidai kuwa Inawezekana unatafuta dhahabu machimboni au madukani, lakini ukweli ni kwamba tayari unatembea ukiwa na dhahabu mwilini mwako! Katika chapisho hilo wamedai kuwa Wanasayansi wamethibitisha kuwa ndani ya...
  18. JamiiForums Tanzania Binadamu sisi ni wabaya sana

    Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo . Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi. Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika Orderly Coplo Wa week 😎.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mandhari na uzuri wa asili kwa kuuangalia tu au kusikia sauti za uzuri huo unamkosha sana binadamu? Majadiliano na atheists Ep5

    ‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…