bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Unamwoa mwanamke ambaye umemkuta kwenye mahusiano, yaani ametumika sio bikra, akikuchiti unaanzaje kuwa na hasira kali mpaka kua

    Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa 1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani 2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi 3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba 4.Ulimkuta na bwana...
  2. 'Bikra' ni neno linalochukiwa na mabinti wengi sana

    Yaani hata ukijikuta umeshataja neno bikra (kama ajali) basi malizia kwa kusema Maria, la sivyo kuna watu wataona unawananga. Hivyo, nakuasa usipendelee kulitaja neno hili uwapo karibu na watoto wa kike, kwa maaa utafanya mioyo yao ianze kudunda kwa kasi kubwa sana. Nasanzuka.
  3. Wanawake bikra bado wapo!

    Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15. Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!
  4. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  5. Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  6. Unabagua wanaume kama nyanya kutokana na kiasi cha pesa walichonacho na hakuna anaekulaumu. Kwanini ulielie ukisikia mwanaume anataka mdada bikra?

    "Oooh kwani bikra itakupeleka wapi" Na wewe kwani magari yatakupeleka wapi Kaa chini utulie, tayari soda yako ishafunguliwa.
  7. A

    SI KWELI Je, ni kweli bikra ya msichana inaweza kurudi kwa kutumia dawa za asili?

    Wakuu naomba kuuliza, anachokisema huyu mama kwamba hata kama bikra ya mwanamke ilitolewa muda mrefu? Anasema hata kama mwanamke amezaa watoto sita bikra yake inaweza kurudi bado. Hii ni kweli au anatupoteza huyu?
  8. Hakikisha Unaoa bikra

    Mtoto wa kike unataka kuolewa na Mwanaume tajiri. Bahati mbaya huna elimu, huna pesa, unatokea familia ya kimaskini, huna Shughuli ya kukuingizia kipato wala ajira. Basi kitakacho kuokoa ni bikira na uzuri pekee yake. Usipokuwa na hivyo sahau kuwa na mwanaume tajiri.
  9. Wazo langu la kuoa MWANAMKE bikra bado lipo pale pale

    Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
  10. Kutaka bikra kwa mwanamke utakayemuoa ni Haki yako kama mwanaume

    KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini? Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
  11. Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  12. K

    Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  13. Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

    Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;- Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani, Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali, Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa, Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA, Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
  14. Damu ya bikra ina nini mbona haifutikagi kwenye shuka

    Kwa ambao hamjawahi kupata bahati ya kumtoa mwanamke usichana wake nakupa hii fact ile damu ikidondokea kwenye shuka hata ufue vipi na jik lile alama halitoki ila sababu sijui mpaka leo atleast nilibahatishaga mmoja maria wangu 2015.
  15. Bikra ya kutengeneza na bikra original nitaitambua vipi?

    Ndugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa. Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila akanambia nimuoneshe wifi, nikasema sawa, EEH bhana ninemuonesha TU hivi alipo MUONA akaguna mmh...
  16. Kama mwanamke anakuwa msafi "pure" hadi pale anapofanya mapenzi na mwanaume; huu uchafu unakuwa umetokea wapi au kwa nani?

    It is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume. Tena kuna wale ambao anamnyanyapaa/kumsemea mbovu mwanamke aliyelala naye yeye mwenyewe. Yaani baada ya kumla anamuona trash flani. Sasa, kama mwanamke akiwa bikra ana thamani sana, akishafanya...
  17. BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  18. Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

    WANAWAKE WENGI HUFIKIRI KILA MWANAUME ALIWAHI KUTOA BIKRA WAKATI WALIOKUTANA NA BIKRA NI WANAUME 2 KATI YA 10. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikia wanawake pindi wakiambiwa mambo ya bikira, wanatoa hoja kuu mbili, Mosi; wewe mwanaume unayo bikra? Pili, Nyie...
  19. Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  20. Nilipata demu wa chuo kupitia dating app, sikujua kama bado alikuwa bikra

    Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana. Yeye aliniambia anaishi Sinza, na alikuwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili IFM. Kwa kifupi alikuwa msichana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…