bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

    Wakuu poleni na maumivu ya january, Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza Shukrani.
  2. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ---
  3. Hiv Magufuli huwa anakunywa bia?

    Wakuu kwema? Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli? Asanteni
  4. Kulikuwa na haja gani ya Mkude kunywa bia kama alikuwa hana hela?

    Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa. Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani...
  5. R

    Bia za kupima za kwenye mitungi ziliishia wapi?

    Kuna wakati niliwahi kuona bia za kupima kwenye glasi zinazohifadhiwa kwenye mitungi (kegs). Hivi siku hizi hazipo tena? Glasi ilikuwa inauzwa sh 500. Ingesaidia watu waache kunywa mataputapu. Kenya zipo sana watu waliokuwa wanauza pombe haramu waliacha wakawa wanauza Senetor kegs beer. Huku...
  6. Nahitaji Kuanza na Kreti Ngapi za Bia?

    Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…