bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  2. R

    Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  3. Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

    Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata. Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa...
  4. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  5. M

    Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

    Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea. Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki. Haiwezekana watu watano wanywe bia nane...
  6. Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
  7. Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  8. N

    Idadi ya bia kunywa kwa siku yawa gumzo

    Dar es Salaam. Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo, afya ya mnywaji na mchanganyiko wa kinywaji chenyewe. Akizungumza na Mwananchi jana...
  9. Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete: Kunyweni angalau bia tatu tu kwa siku

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter ******* amesema hayo leo Jumatatu...
  10. S

    Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu. Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
  11. Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  12. M

    Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti . Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na...
  13. Tujuane tunaokunywa crate zima la bia

    Hello JF Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣. Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda. Wadiz
  14. Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  15. Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  16. Watengenezaji wa bia mnakuwa kama mmekula dili na wauzaji

    Zamani ilikuwa bia kubwa tu basi burudani, lakini sasa bia ndogo zimetapakaa lakini kitu ambacho sikipendi watu wa bar na grocery wanaweka kwa wingi bia ndogo kwa makusudi halafu bei sawa bia kubwa. Sasa watu wa breweris kwanini mpo tu wakati wakati wateja tunakuta tusichokipenda kwa bei ghali...
  17. Rais Samia, ruhusu watu wanywe bia 24/7 ukuze uchumi

    Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali...
  18. Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
  19. Watu wa serengeti bia mnapoteana

    Bia zenu serengeti sasa zinaradha ya sukari sana halafu unapiga hata tatu hakuna stimu unamaliza hela tu.Lakini zamani ukipiga tatu angalau.Lakini serengeti hizohizo mikoa mingine zipo poa.Mkiendelea kuleta kanya boya tutafanya kampeni ya kuwaharibia tena nasisitiza toeni bia zenu zenye ladha ya...
  20. Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…