bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Deo Mwanyika: Wanywaji wa Bia wamepungua, hali yatishia kukua kwa Uchumi wa nchi

    Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
  2. Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

    Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya? Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
  3. N

    TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
  4. R

    Kwanini kampuni za bia hazifanyi urejeleshaji (recycling) ya lebo za bia?

    Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa. Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana...
  5. Kazi ni kwako

  6. SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  7. R

    Serengeti warudishe bia yetu pendwa

    Hii mada inawahusu wanywaji tu. Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika. Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
  8. Kumbe tunashindwa Kuitambulisha upesi 'Turufu Iliyochoka Kwa Jirani na Inayolewa Hovyo Bia' kwakuwa bado tuna Madeni Makubwa na hatujamalizana nayo?

    Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
  9. Bye bye Serengeti bia

    Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
  10. Baada ya kugundua kinachofanyika 'behind the Scene' hasa kwa Bendi za Dansi Afrika acheni tu Bia na Viroba vitengenezwe na Bangi ilimwe sana tu

    Nilikuwa najiuliza sana inawezekana vipi Watu wanaimba na kucheza zaidi ya Saa 8 na hata hawachoki ila jibu nimelijua.
  11. Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
  12. R

    Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  13. Kwanini bia lita 5 zinanyweka ndani ya saa na sio maji?

    Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni. Kwa...
  14. Siku za mpira kwenye baa soda na maji ndiyo vina faida kuliko bia

    Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
  15. Bia moja moja ni sawa na serengeti lite 5

    ukizichapa bia 5 kazi unayo
  16. Anayeuza kreti za bia na soda kampuni yoyote

    Wasiliana nami kwa namba 0756294771. Nahitaji, nipo Moshi Mjini. Karibuni.
  17. Makreti ya bia kampuni ya serengeti yanauzwa

    Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
  18. Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  19. SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

    Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba? Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM) Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
  20. C

    Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

    Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia. Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…