bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
  2. Unaagiza bia ya baridi sana alafu unakanayo nuusu saa haijaisha si bora ungeagiza ya moto

    niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto N matumizi...
  3. Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
  4. Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  5. K

    Biashara ya wifi internet router mtaani

    Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko sawa, pia kuna changamoto gan katika hii biashara Naomba kuwasilisha
  6. M

    Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  7. GE2025 Gambo tulikuambia Lema ni mbarikiwa Wa Mungu

    Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
  8. Nimekunywa bia ila nimekutana na uchafu

    Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu. Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
  9. Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia na kutukana

    Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia zaidi ya M+ wakati kipato chao haki reflect na kile kazi wanayofanya. Vijana wanazidi jeuri mtaani na wanajipongeza daily. NRNE. Tumia busara zako, sishinikizi. Ila kuna ulazima mkubwa wa kuitoa CCM madarakani.
  10. Duh! Bia za milioni 9!

    Nisiseme mengi.
  11. Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  12. Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

    Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali...
  13. U

    Happy birthday bia ya safari lager leo umetimiza miaka 48 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
  14. Kuna bia za kike na za kiume?

    Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
  15. kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  16. Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

    Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
  17. Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

    Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋 Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja...
  18. A

    Bia ipi nzuri?

    Mi niko Mbeya town nauliza kwa wadau wanaojua bia gani tamu na inalewesha inapatikana wapi na shingapi kwa moja na kwa katoni..?
  19. G

    Kwahiyo Mbowe kumnunulia lissu kiti Moto na bia , mara akiwa musoma alinunua samaki na ugali wa mtama anamaanisha nini?

    Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo? Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
  20. G

    Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…