bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Bajeti yetu iko tayari, kwanini tuwasubiri Kenya na Uganda tusome pamoja tarehe 11 Juni? Wabunge watalipwa posho bila kufanya kazi?

    Jana Spika Ndugai amesema pamoja na kwamba bajeti yetu imewahi kukamilika bado itatulazimu kuwasubiri " Wenzetu" wa Kenya, Rwanda na Uganda ili tuzisome kwa pamoja tarehe 11 June. Maana yake ni kwamba wabunge wataendelea kuwepo Dodoma wakiisubiri hiyo tarehe ya " pamoja " kisha wataendelea...
  2. GE2020 Ni sahihi bajeti ya kampeni CCM kuelekezwa kwenye huduma za Afya ya Jamii

    Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k. Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa...
  3. Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka 2020/21 - FULL TEXT

    MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WAKATI AKIWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2020/21 TANGULIZI Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na...
  4. Mabasi ya utalii yatua Dar, mabilioni ya fedha yatengwa

    Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imepitisha Sh75 bilioni za bajeti kwa mwaka 2018/2019 huku kipaumbele kikiwekwa kwenye utalii. Kati ya fedha hizo, Sh65 bilioni ni za maendeleo ambazo zitahusisha miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi Louis, madarasa na vibanda vidogo...
  5. K

    Tunajadili Bajeti,Tunaizika EPA,Richmond: Lakini Je,Tunayajua haya?

    Tunajadili Bajeti: Lakini wanasiasa wanayajua haya? Na Charles Kayoka Mwananchi WAKATI huu tunapoijadili bajeti sijui kama wanasiasa na watunga sera wetu wanalijua hili ninaloandika hii leo. Nilikuwa ziarani mkoani Rukwa hivi karibuni kwa ajili ya kujadiliana na waaandishi wa habari wenzangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…