bagonza

William Bagonza (12 November 1960 – 9 December 2000) was a Ugandan boxer. He competed in the men's light flyweight event at the 1984 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

    Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
  2. S

    Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  3. PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  4. PostGE2025 Askofu Bagonza: Kufikiri unakataliwa au unakubaliwa kwa sababu ya dini yako ni udini

    Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema; UDINI UNAWEZA KUWA HUU. Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona hali hiyo, wewe binafsi unachukua hatua; 1. Kumbagua mtu kwa sababu ya dini yake ni UDINI. 2...
  5. PostGE2025 Askofu Bagonza: Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu!

    Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu! Taifa haliumwi: Uponyaji wa nini
  6. R

    Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  7. PostGE2025 Askofu Bagonza: Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?

    Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?
  8. PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuliangalia Kanisa kwa miezi 6, yaweza kumaanisha mahubiri yapelekwe idara ya MAELEZO ili yahaririwe. Haitakuwa sawa

    Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa. Mjaluo ukimpongeza kabla hajamaliza kazi, huwa anaacha na kuondoka kwenda nyumbani akiamini amemaliza...
  9. PostGE2025 Askofu Bagonza: Nawaombea hata waliofika kuniteka wakakuta sipo, Wasikate tamaa, narudi upesi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kwenye ukurasa wake wa Facebook. TUTOKE CHUMBANI TULALE SEBULENI Bibi wa Kijaluo alijiandaa kwa safari ya kwenda mbali kwa miguu. Usiku wa kuamkia safari, alitoka chumba cha kulala na kulala sebuleni. Kisha akajiambia, “hizo...
  10. Askofu Bagonza: Kubaki ndani si kigezo cha uzalendo. Kuna mijizi, mifisadi, michokoraa, miuza siri za nchi na mirafi imejaa humu ndani

    Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe. a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
  11. PostGE2025 Askofu Bagonza: Nani aliruhusu wauawe? Hata aliyehukumiwa kifo na mahakama ni mpaka mama aweke sahihi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza; NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini! Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie: 1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
  12. M

    GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  13. Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
  14. Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  15. GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

    Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi: "Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
  16. GE2025 Askofu Bagonza: Wote tuko njiapanda, Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reforms?

    Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook === WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani? Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
  17. Askofu Bagonza amerudi tena. Sasa hivi anauliza "Mahakama imetupindua tuishtaki wapi?"

    Wakuu, Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana. Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo: MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi? Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
  18. Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  19. Askofu Bagonza: Kwenye siasa ambako hakuna ITHIBATI, wenye elimu wamehamishia magodoro bungeni; wasio na elimu ndio wanachangia kila hoja

    Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook. ==== FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu? Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja: 1. Wenye vyeti...
  20. Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…