bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Beachfront property for sale at Bagamoyo

    PRIME BREACHFRONT PROPERTY IN BAGAMOYO FOR SALE measures 4431sqm. 65m of white sandy beach frontage. double storey house on the property. suitable for commercial development or private home. 5mins drive from the historical sites in Bagamoyo township. water and electricity on site. easy access...
  2. Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ€“ TAMISEMI, ๐Œ๐ก๐ž. ๐Œ๐จ๐ก๐š๐ฆ๐ž๐ ๐Œ๐œ๐ก๐ž๐ง๐ ๐ž๐ซ๐ฐ๐š, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐Œ๐ก๐ž. ๐’๐š๐ฆ๐ข๐š ๐’๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐‡๐š๐ฌ๐ฌ๐š๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  3. DOKEZO Usinunue eneo Bagamoyo Udindivu Mapinga kuna mgogoro wa ardhi

    WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE NDO CHANZO mwajitakia wenyewe. Full stop Kwishaaaa
  4. Wakazi 700 Bagamoyo wapeleka kesi Mahakamani kudai kubomolewa nyumba zao kinyume cha Sheria

    Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria. Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
  5. Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
  6. A

    Natafuta wasafirishaji wa mifungo aina ya nguruwe kutoka mikoa ya singida, mbeya, njombe, moshi n.k kuja dar es salaam bagamoyo. Wadau wa kusafirisha?

    Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye ufahamu wa gharama au wadau wa kazi za ushafirishaji naombeni msaada.
  7. Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

    Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road. Eneo linatazama barabara kuu ya Lami. Wamiliki WA eneo wapo watatu. Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja. Mmiliki mmoja anauza milion 300 Mmiliki wa pili anauza milion 300 Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana. Mmiliki wa tatu anauza...
  8. B

    Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  9. Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya kati/chini - kati ya Dar, Kibaha, Mlandizi, & Bagamoyo?

    Wazoefu wa hii miji/maeneo. Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya... A. DAR ES SALAAM, B. KIBAHA C. MLANDIZI D. BAGAMOYO. Right Marker Dar es salaam.
  10. Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  11. Kanisa Katoliki lawamani kupokea pesa milioni 20 zinazoitwa "za mafuta ya gari la Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo kwa kazi zake za kichungaji

    Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe.. Hiyo pesa iliyoitwa...
  12. T

    Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
  13. Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  14. Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  15. Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi 7, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri...
  16. Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone โ€“ BSEZ), Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa Wilaya Bagamoyo Wilaya kibaha Wilaya chalize...
  17. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  18. Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  19. Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  20. Y

    Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ