bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Mradi wa Bagamoyo na Mundelezo wa kundi la "CCM" kuendelea kuila nchi kwa mrija

    Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
  2. Nawaamasisha Watanzania tuandamane kupinga Ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
  3. P

    Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi? Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
  4. Bagamoyo ilishaporwa na mafisadi; mradi wa bandari utakuwa ni neema kwao

    Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia. Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
  5. Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo. Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu. Nawakumbusha...
  6. Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Habari wakuu Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu. Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani? Mimi binafsi nina...
  7. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  8. Plot4Sale Beach plot for sale Bagamoyo

    Beach plot for sale Bagamoyo Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo. [emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo [emoji3591]viwanja vinagusa maji kabisa [emoji3513]0712943877=0789076089 kalibuni sana
  9. Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
  10. O

    Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Habari zenu wadau.Kuna kiwanja nataka kukinunua Bagamoyo Kaole naombeni ushauri wenu.Sqm 1000 sh million 12 ni karibu na beach (500metres from the beach). Plan yangu ni baadae kujenga vi apartments hata vinne vidogo kwa ajili ya watalii wanaokuja kuvipangisha.Lakini pia nina option ya Kiromo...
  11. S

    Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
  12. Upanuzi barabara Bagamoyo, Kawawa na Mwenge anayeelewa haya atueleze

    Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya...
  13. Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
  14. TANZIA Emmanuel Lukumai, Mwenyekiti wa CHADEMA Bagamoyo afariki dunia

    Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji. Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu...
  15. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  16. Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

    Salaam kwenu heshima mbele! Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya. Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu...
  17. B

    Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  18. M

    Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

    Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana. Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo...
  19. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  20. Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…