baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Levo awatimua Polisi kwenye mashindao aliyoyaandaa, baada ya Polisi kuwakata wachezaji wa timu pinzani

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC. Kupitia taarifa yake, Mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...
  2. C

    Kigoma: Baba levo awatimua Polisi kwenye michuano yake

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC. Kupitia taarifa yake, mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...
  3. Baba Levo wewe pekee bungeni umeonekana ndio msomi

    Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300. Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake. Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi...
  4. Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  5. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  6. Baba Levo kaonyesha thamani ya elimu bungeni. Tubadilishe vigezo vya kwenda bungeni

    Baba Levo analinganisha thamani ya kujenga uwanja wa Mkapa na uwanja wa Afcon wa Arusha akidai thamani ya uwanja wa Arusha bei yake ilipaswa iwe sawa na thamani ya uwanja wa Mkapa x 2 tu. Nadhani hii sio sahihi kwakuwa uwanja wa mkapa ulijengwa 2005 ha wa Arusha unajengwa 2026, yaani miaka 21...
  7. Namwelewa Baba Levo kwenye issue ya uwanja

    Habari wakuu Leo kwenye pitapita zangu kwenye social media nimekutana na nondo za mbunge baba Levo juu ya uwanja wa Arusha uliopewa jina la mwanasiasa. Kwenye hoja zake anadai uwanja umetumia gharama kubwa sana tofauti na uhalisia huku akilinganisha na bajeti iliyotumika kujenga uwanja wa Mkapa...
  8. K

    Thank You, But No Thank You, Baba Levo: Huwezi Kukosoa Ufisadi wa Uwanja wa Arusha Huku Ukisafisha Aliyeruhusu Urefu wa Kamba.

    Katika muktadha wa kisiasa ambapo mara nyingi nidhamu ya vyama na hofu ya kukosoa mamlaka hutawala, ni nadra sana kumsikia mbunge akisimama kidete na kuhoji matumizi ya fedha za umma kwa uwazi na ukali usio na kigugumizi. Hilo ndilo alilolifanya Mbunge wa Kigoma Mjini, Mheshimiwa Revocatus...
  9. Baba Levo kavuka mipaka yake, barabara za jimboni kwake zinategemea makusanyo ya kodi.

    kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo...
  10. Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
  11. Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walifika kukamata gari la msanii Ommy Dimpoz kwa tuhuma za ukwepaji kodi. Wakati wa zoezi hilo, Mbunge wa...
  12. Mahakama yatengua Wakazi kumlipa Baba Levo milioni 100

    Wakili Peter Kibatala amesema Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua uamuzi wa awali uliokuwa umemwamuru msanii Webiro Wasira (Wakazi) kumlipa TZS milioni 100 Clayton Chipando (Baba Levo) kwa madai ya kumchafua. Amesema mahakama imeeleza kuwa hakukuwa na ushahidi uliothibitisha kuwa Wakazi...
  13. Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  14. R

    Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  15. PostGE2025 Zitto aangukia Pua, Mahakama yasema Baba Levo hana kesi ya kujibu

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma muda mfupi uliopita leo, Alhamisi tarehe 16/07/2026 Mahakama imeifuta kesi ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa Mahakamani hapo na wananchi wanne (4) waliojitambulisha kuwa wapiga kura wa Jimbo la Kigoma Mjini dhidi ya Mbunge wa Jimbo la...
  16. Baba Levo ashinda kesi ya uchaguzi.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi Julai 16, 2026, imeifuta kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Levocatus Chipando maarufu Baba Levo. Akitoa uamuzi huo, Jaji Victoria Nongwa anayesikiliza...
  17. M

    Kwa namna kesi dhidi ya ubunge wa Baba Levo inavyoenda ni wazi atatenguliwa kuwa mbunge. Je, Zitto atashinda ?

    Naoma kama Baba Levo ushahidi umemlallia vibaya. Lakini ikiwa ubunge wake utatenguliwa kuna uwezekano wa Ayatollah wa ujiji kushinda? == Shahidi wa 16 upande wa waleta maombi, katika kesi ya uchaguzi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini (CCM) Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)...
  18. Baba Levo Hutoboi; Zitto Anapiga Jaramba kula Mema ya ...

    Mahakama huru. Maridhiano chanya. Wanaharakati Magaidi. Maridhiano siyo udhaifu. Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama. Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.
  19. Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

    Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake. Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza...
  20. Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…