baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kunywa maji baada au kabla ya kula?

    Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!! Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI? KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula? Elezea na sababu za kisayansi kabisa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800. wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi unaweza kukabiliana na changamoto za kazi baada ya kuhitimu

    Safari baada ya chuo kwa wahitimu inaweza kuwa na furaha na changamoto kwa pamoja. Unapojitosa katika ulimwengu wa kitaaluma, moja ya changamoto kubwa mtaani kwa wahitimu ni kazi hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kufanya mabadiliko na kujenga mustakabali wa mafanikio. Maisha baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika Maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike. Pia katika miaka 30...
  6. JamiiForums Tanzania Mechi ya Brazil vs Argentina inakaribia kutochezwa baada ya mashabiki wa Brazil kuanzisha vurugu

    Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea. Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.
  7. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye gambe hata yule hajaenda shule anaporomosha lugha ya malkia

    Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana. Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo.. Lakini msahiliwa huyuhuyu...
  9. JamiiForums Tanzania Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

    Wakuu mulibwanji? Huku mambo ni mwagalayoooo. Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza. Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

    Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola. Ngurdoto imerudi. JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine sehemu mbalimbali nchini, lakini akawa bize kujenga pagale la nyota tano kwao chato ===========...
  11. JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  12. JamiiForums Tanzania Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  14. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza dakika chache baada ya kumaliza chuo: Kujilipua na Kujihatarisha (risk taking) kutakusaidia kutoboa mapema kuliko kusubiri utaratibu

    Niliingia first Year nikiona mwaka wa mwisho wote wanaijiwa na waajili wakaanze kazi. Siku namaliza hakuna hata hata mmoja aliyekuja. Hali ilikuwa imebadilika. Nilikuwa nimeshaapa sirudi nyumbani afe kipa afe beki. Plan B Niliandaa barua na CV kama 200 hivi. Za elimu zote, form 4, six, ya chuo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa Polisi: Madeleka agundulika mtoro jeshini baada ya miaka saba

  18. JamiiForums Tanzania Waliomteka Baba Wa Mikel Obi walijuta baada ya habari kumfikia Abramovic

    🇳🇬🗣️ John Obi Mikel: Baba yangu alitekwa nyara wakati nilipokuwa nikiichezea Nchi yangu Nigeria katika Kombe la Dunia la Mwaka 2018 lililopigwa nchini Urusi. Tulikuwa tunakaribia kucheza dhidi ya Argentina. Masaa mawili kabla ya mchezo nilipata simu kutoka kwa Ndugu yangu akisema baba yangu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

    Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Vuta Nikuvute Hatimaye KADCO Yakabidhi Uwanja wa Ndege Kilimanjaro kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

    Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…