baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Maeneo Matatu Wilayani Uyui kurudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya changamoto kadhaa

    Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya uchaguzi na mwingine kupigiwa kura nyingi za hapana katika uchanguzi uliofanyika Novemba 27 mwaka huu...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  4. JamiiForums Tanzania Marc Guehi aandika "Yesu Anakupenda" kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za Upinde, baada ya onyo la FA

    Baada ya kupewa onyo na Shirikisho la Soka (FA) kwa kuandika maneno "I love Jesus" kwenye utepe wa upinde wa mvua, Marc Guehi, beki wa Crystal Palace, ameandika "Jesus loves you" (Yesu anakupenda) kwenye utepe wake wakati wa mechi dhidi ya Ipswich. Nahodha wa Ipswich, Sam Morsy, naye ameamua...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa migogoro inayoibuka baada ya vifo vya wenye hela, nadiriki kusema "kuwa na pesa nyingi ni kukaribisha balaa kwa familia"

    Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao. Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
  6. JamiiForums Tanzania Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo baada ya kupangiwa placement

    ...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo baada ya kupata placement

    ....
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  10. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

    Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask Pia, Soma: + Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji + Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanikiwa kuharibu uchaguzi sasa wanataka kuifarakanisha CHADEMA

    Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja kuna kivuli kinawatisha sana na ndicho kinachowafanya watende mambo ya kikatili sana Uchaguzi mkuu ni miezi 12 ijayo...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  15. JamiiForums Tanzania Shuhuda anashuhudia jinsi ilivyokua chini ya kifusi baada ya ghorofa kuporomoka Kariakoo

  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  18. JamiiForums Tanzania Nimeghairi kuwa nae kwenye mahusiano baada ya kugundua kafanyiwa tohara

    Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za simu. Kwa muda wote huo tulikua tunajuliana hali na chatting za hapa na pale mpaka tukaanza...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
  20. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…