baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Afrika Kusini waanzisha msako baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi klabuni

    Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg. Huduma za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mke baada ya kusikiliza kesi ya Tundu Lissu amfanyia cross examination mumewe

    MKE BAADA YA KUSIKILIZA KESI YA TUNDU LISSU AMFANYIA CROSS EXAMINATION MUMEWE. Mke: ikupendeze mume wangu naitwa Chausiku Omar mkeo wa ndoa Mume: Nipo timamu mke wangu Mke: Nitaanza kukuuliza kuhusu Khadja Mume: Nakusikiliza Mke: Sasa niambie Khadja ni Nani Mume: Khadja yupi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je hili linawezena ,kwa tathmini yako ni baada ya mda gani. ( AI)

    Mijadara ni mingi hebu cheki hii
  5. JamiiForums Tanzania Yule kingai wa Mbowe alipanda cheo akawa kama alivyo leo, usishangae katuga wa Lisu kupewa ujaji baada ya kesi.

    Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji. Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani? Hivi wajua kingai alipanda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samatta arudishwe timu ya taifa.Astaafu baada ya AFCON.

    Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON. Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
  8. JamiiForums Tanzania Simjui hanijui lakini machozi yamenitoka baada ya kumuona mwathirika wa agizo la Chalamila la kuwekwa kolokoloni familia ya Mushi.

    Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
  9. JamiiForums Tanzania Gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida aangamizwa baada ya kutaka kufanya ugaidi huko Jenin Judaea & Samaria!!

    Vikosi vya IDF vilimpiga risasi na kumuua gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida, mwenye umri wa miaka 32 na kutoka kambi ya Jenin, baada ya kujaribu kufanya shambulio la kugonga kwa gari wanajeshi waliokuwa wakifanya operesheni katika eneo la Jenin, huko Yudea na Samaria (Ukingo wa...
  10. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Ikulu ya Marekani imezindua kituo cha matangazo ya kidijitali cha saa 24 kinachoitwa “Trump TV: The Essentials Station" huku mvutano kati ya utawala wa Rais Donald Trump na baadhi ya mashirika makubwa ya habari nchini humo ukizidi. Kwa mujibu wa Ikulu, jukwaa hilo litaangazia video muhimu...
  12. JamiiForums Tanzania Misri imelipa fidia kwa familia ya Mwanaharakati Shaimaa al-Sabbagh aliyepigwa risasi baada ya Miaka 10

    Fidia Baada ya Miaka Kumi Misri imelipa familia ya mwanaharakati na mshairi Shaimaa al-Sabbagh fidia ya pauni 300,000 za Misri (chini ya $6,000), zaidi ya miaka 10 tangu auawa na polisi. Hukumu ya mahakama ilitoka 2023, lakini Wizara ya Mambo ya Ndani ilichelewesha malipo hadi wiki iliyopita...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  15. JamiiForums Tanzania Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

    Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani. Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  18. JamiiForums Tanzania Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

    Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini. Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

    Wandugu Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana . Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi. Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ??? 1.serikali vs Lissu 2.serikali vs chadema 3.ccm vs Lissu 4. ccm vs chadema 5.wanzibara vs...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu. 📍Simiyu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…