Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi huchukua muda wangu kujifunza (I take my time to study).
Kupitia kudadisi na kutaka kuijua dunia...