baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtwara: Watu watatu wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani

    Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mahurunga kilichopo wilayani Mtwara, Mkoani Mtwara wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo ACP Nicodemus Katembo ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameeleza kuwa tukio hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  3. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  4. JamiiForums Tanzania Dakika 30 baada ya kuzikwa

    Maisha yana Fumbo kubwa lakini Kifo kina Fumbo Pana
  5. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  6. JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam. Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Iwe sharti wanaume kuhamisha mali kwa watoto wa mwanzo kabla ya kuoa mke mwingine ili kuepusha dhuluma kwenye urithi baada ya kufariki

    Ishu kuu ni hawa mama wa kambo kuchota kila kitu huku, watoto wa mwanzo wanaambulia patupu...Je ni haki hawa mama wa kambo kuzoa kila kitu? Binafsi nimeona kabla mwanaume hajaoa mwanamke mwengine (hasa hawa wazee wanao oa mabinti) , ingependeza haya mambo ya urithi yawe wazi ili kuepusha shari...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

    === Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya, Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai, Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu...
  9. JamiiForums Tanzania Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi

    Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambiwa TCD inatumika kwa manufaa binafsi, Admin aifunga akaunti ya TCD Twitter

    TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Babu wa miaka 60 atupwa jela miaka 30 baada ya kukutwa na bangi

    AFUNGWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUPATIKANA NA MICHE YA BANGI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa ANOSISYE AMOS MWAKITEGA [60] Mkazi wa Kyimo halmashauri ya Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa kosa la kupatikana na miche ya bhangi 192 kinyume na kifungu cha sheria namba 11 (1)...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Muda mfupi baada ya moto kuwaka katika Kiwanda cha GSM Industrial kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho, Salaah Mohamedi amesema wamepata hasara kubwa kutokana na moto huo uliowaka leo Jumapili Machi 13, 2022. "Chanzo hatujui hadi sasa, nilipigiwa simu saa 12...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA warudishwa kwenye mstari baada ya kifinyo kikali

    Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa vitashiriki. Mkutano huo wa maridhiano ya umoja wa kitaifa, ukiwamo Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 unatarajiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Surrogacy imeturahishishia maisha

    Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya baba mwenye nyumba kuunga juhudi, ni nini hatma ya wapangaji wake?

    Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Tanzania kuanza kuuza gesi nje "labda" baada ya miaka 6 kuanzia sasa

    Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda baada ya miaka 6 kuanzia sasa ndiyo miundombinu wezeshi inaweza kukamilika na kuanza kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…