baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Mhe. Rais baada ya kukwazwa na riport ya CAG kitaondoka na wengi

    Mhe. Rais ameweza kujenga Ofisi yake kwenye standard ambazo hakuna msaliti anayepata mwanya; hii imepelekea mambo yafuatayo kwenda kama Ofisi ya Mhe. Rais inavyopaswa kuwa 1. Ofisi yake Kwa sasa imeweza kuwa na Siri kubwa; hakuna Siri kuvuja kama ilivyokuwa awamu za nyuma. Hii imefanya akina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa kipigo kwa Ihefu, anayefuata anajielewa!

    Anayefuata anajielewa, aanze tu kutia maji asije kunyolewa kavu kavu, ohoooo!!!!
  3. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    Ndugu zangu, Uraisi siyo kazi ya kitoto. Urais siyo lelemama. Hata Nyerere alilitambua hilo hadi akasema mtu anayetumia nguvu au fedha kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba mpaka Dakika hii Samia nchi imeshamshinda, hakuna nchi ngumu kuongoza kama...
  4. JamiiForums Tanzania Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  7. JamiiForums Tanzania Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

    Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada. Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu. Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
  8. JamiiForums Tanzania Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kukabidhiwa kwa Rais Samia, Ripoti ya CAG kufikishwa leo Bungeni

    Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa itakuwa wazi kwa umma Orodha ya shughuli rasmi za Bunge inaonesha kupokelewa kwa ripoti hiyo na...
  11. JamiiForums Tanzania Putin amfuta kazi Jenerali baada ya aibu ya kipigo

    Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo... Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern town of Vuhledar ended with dozens of tanks being destroyed. General Rustam Muradov was sacked in the...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusuni: Rubani atua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya (cobra) chini ya kiti chake

    Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema. Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Makamanda wa CHADEMA wakipigwa Tanganyika jeki baada ya kuleta ujeuri

  14. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Dkt. Slaa na Prof. Safari baada ya kupigwa kibabe na CHADEMA mwenzao

    Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema
  15. JamiiForums Tanzania DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Dada Kaniblock baada ya kukataa asije nyumbani

    Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi. (mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie ukweli kua hata akijichanganya tukasex akapata mimba chance ya kuwa na mimi ni 0, at best naweza...
  18. JamiiForums Tanzania Malawi: Watu 537 waliopotea baada ya Kimbunga Freddy kutangazwa kuwa wamekufa

    Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana wamepoteza maisha. Ripoti imeeleza baada ya msako wa siku 17 bado imekuwa ngumu kufanikisha zoezi hilo na...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…