baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  2. JamiiForums Tanzania Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
  3. JamiiForums Tanzania Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

    1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa kuwania nafasi hizo kisha wapigiwe kura. 2. Spika wa bunge na naibu spika wanatakiwa wachaguliwe na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kama kutakuwa na mapitio ya Intergovermental Agreement (IGA) kuhusu DP World mapitio hayo yapelekwe bungeni baada ya uchaguzi wa 2025

    Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika. Bunge la sasa hivi la chama kimoja-1) lililipitisha azimio hilo "kwa kishindo" kama ilivyo kawaida...
  6. JamiiForums Tanzania Nilimdaka tapeli Mbeya baada ya kutapeli simu Dar

    Nikiwa Mbeya 2022 nilifahamiana na bwana mmoja tuliyekuwa tunamuita ngosha lakini baadae nilitambua anaitwa Katemi. Huyu mtu nilifahamiana naye baada ya kuwa tunaonana mara kwa mara sehemu ambayo nilikuwa napenda kushinda ni mtu ambaye tulikuwa tunaheshimiana na ni mtu mzima. Kwa muonekano...
  7. JamiiForums Tanzania Haaland azomewa na mashabiki wake baada ya mechi

    Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia mashabiki ambao walikuwa wakimsubiri kwa nje. Matokeo hayo yanaifanya Norway kutokuwa katika nafasi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kila kitu Yanga, wengine hamuwaoni?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  11. JamiiForums Tanzania Kally Ongala atemwa Azam baada ya kuwauzia Yanga mechi

    Azam hawapendagi ujinga. Ametimuliwa usiku usiku sababu ni kuuza mechi yafainali
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

    Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni...
  13. JamiiForums Tanzania Ugiriki: Watu 79 wafa majini baada ya meli kuzama

    Tofauti na idadi hiyo ya waliofariki, watu wengine zaidi ya 100 wameokolewa katika tkio hilo baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika Pwani ya Kusini mwa Ugiriki. Watu walionusurika wamedai kuwa abiria wengi katika meli hiyo walikuwa wahamiaji na hakukuwa na mtu aliyevaa jaketi za kuokoa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Upi ni uamuzi sahihi baada ya Kung'oa jino?

    Habar wadau, Kuna wakati ukifika mtu unang'oa jino una miaka lets say 32. Je, upi ni uamuzi sahihi? Nimefuatilia nimesikia kuwa jino pekee lunaloweza kuota tena ni deduced teeth na sio permanent teeth deduced tooth yale meno ya watoto stem cell inakuwa ipo juu ya fizi so likitoka linaota...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kumkosa Messi, Al-Hilal yamuwania Neymar

    Klabu hiyo ya Saudi Arabia inamuwania mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain (PSG) aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198. Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Klabu huyo ambapo wababe hao wa Saudi Arabia wanahitaji kumsajili baada ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  20. JamiiForums Tanzania Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…