baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya DP World, tukumbuke kipande cha Loliondo

    Nimetafakari sana haya nauzo ya ardhi za Tanganyika, Hapo mwanzo kulikuwako Tanganyika ikatawaliwa na Julius K Nyerere akang'atuka akamrithisha Ally Hassan Mwinyi nchi ikiwa haina tobo wala kiraka. Ikawa jioni ikawa asubuhi Mwinyi akawa madarakani. Mwinyi akatawala akiwa ni mtoa ruksa, tukawa...
  3. JamiiForums Tanzania Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

    Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka Hayati Magufuli tumebakiwa na Tundu Lissu, vijana tujifunze uzalendo

    Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:- 1. Ni watu wenye misimamo 2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi . Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa. Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari ajiua kwa risasi baada ya kumjeruhi mkewe

    Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti. Kamanda wa Polisi wa kaunti hiyo Ibrahim Kosi amesema afisa huyo aliyefariki, aliripoti kazini kama...
  8. JamiiForums Tanzania Dubai: Mtu azinduka kutoka kwenye coma baada ya miaka minne

    Dubai: In what can be likened to a real-life time-travel tale, Fares Abu Batin, a Saudi man who was in a coma for four years, woke up to a world transformed beyond his imagination. The astonishing episode was brought to light during an interview with Al Arabiya TV, where Fares recounted the...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Picha; kabla na baada ya kusafisha sink la choo

    Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
  10. JamiiForums Tanzania Unahisi jamaa ilikuwaje baada ya kamba kufunguka

    Eti, alipona kweli?
  11. JamiiForums Tanzania FID-Q aingia Studio na Chino Kidd7 baada ya kuombwa Collabo ya Amapiano

    SIku chache baada ya Msanii Chino Kidd7 ambaye ni Dancer wa Nyota wa Bongo Flava, Mario kumuomba Collbo mkali wa Hip Hop, Fid-Q, leo Julai 4, 2023 mastaa hao wamekutana Studio. Swali ni je, Fid atarekodi style ya Amapiano?
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Guti hakuwa anapewa sifa zake wakati anacheza na hata baada ya kustaafu?

    Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
  13. JamiiForums Tanzania Ujenzi Barabara ya Segerea-Bonyokwa-Kimara waanza baada ya kulalamikiwa kwa muda mrefu

    Habari wakuu, Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
  14. JamiiForums Tanzania Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  15. JamiiForums Tanzania Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 55 wahofiwa kufariki baada ya kuangukiwa na 'Kontena'

    Kwa mujibu wa taarifa ya Mashuhuda, ajali imetokea eneo la Londiani Nchini Kenya baada ya Lori kupoteza uelekeo na kuwafuata waenda kwa Miguu, Wafanyabiashara na Mabasi madogo ya Abiria yaliyoegeshwa kando ya Barabara. Kamanda wa Polisi wa Londiani, Agnes Kunga amethibitisha ajali hiyo na...
  19. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

    Ndugu Wana JF, Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa. Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
  20. JamiiForums Tanzania Chalinze: Ndugu wazika maiti isiyo yao, ilisafirishwa kutoka Kilimanjaro na kuzikwa Kiislamu wakati ni ya Mkristo

    Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao. Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya ndugu hao kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kuuandaa mwili kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…