baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya twitter kuitwa X, imepoteza mvuto

    Toka Ellon Musk abadilishe mtandao wa twitter na kuuita X umepoteza mvuto kabisa. Hapo mwanzo niliipenda sana twitter ila sasa acha niachane nayo. Muda mwingi notifications za twitter zinakuja nakuta icons 'X' zimekuwa nyingi kwenye notifications bar. Mwanzo tulikuwa tunakuta icon ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  5. JamiiForums Tanzania Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu. Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho. Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo...
  7. JamiiForums Tanzania Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

    Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna! Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzichakaza kwenye uwanja wa mapambano: Urusi yaziponda silaha za NATO

    Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia kwenye mdomo wa mamba!! Nyingi zililipuliwa na zingine kutekwa!! Magari ya kivita ya marekani...
  11. JamiiForums Tanzania Ninataka nijue status za wana JF hawa baada ya mechi ya Ngao ya Jamii

    cc: Mpwayungu Village, Bantu Lady, zipompa
  12. JamiiForums Tanzania Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    hii ni kwa uchache sana kwa sasa, Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka. Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma. Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano. Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuomba ushauri wa mambo ya mapenzi hapa JF

    WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata inayoendelea ni maazimio ya Kina Kinana na viongozi wa CCM baada ya kushindwa siasa za majukwaani; ogopa kukataliwa

    Viongozi wote wa CCM wameamua kurudi na kukaa ofisini baada ya kuona kila wanapopita kutetea DP world mambo yanavurugika. Soon after kusarenda wameshauri turudi kwenye mfumo wa Magufuli; lakini pia pressure ya kisiasa iliyopo Afrika kaskazini na Magharibi inatoa piacha kwamba siasa za...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  17. JamiiForums Tanzania Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  18. JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

    Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao.... August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency service said early on Thursday that an auto repair shop caught fire in Domodedovo outside Moscow...
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Wakazi Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao. Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh. " Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4, baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…