baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

    Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande. Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.😃😀🫷

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Edina amekutwa amefariki chumbani baada ya kupaliwa na chakula

    Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga, amesema tukio hilo liligundulika Agosti 23...
  8. JamiiForums Tanzania Ni unyama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya House Girl, mtoto wake kukatwakatwa kwa mapanga na House Boy kisa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili . Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  10. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

    Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi. Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti. Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali. Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya ruling ya HC kutoka kuhusu kesi Lissu je mmegundua nini juu ya uelewa wa machawa?

    Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants. Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watu 52 Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Nigeria

    Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 52. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Gorau katika Jimbo la Sokoto baada ya boti hiyo kupinduka ikiwa njiani kuelekea kwenye mashamba ya mpunga. Wengi wa waathiriwa wanaripotiwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tiba au Ushauri kwa Mtu Mwenye Makovu Yanayowasha, Kuuma na Kuwaka Moto Baada ya Jeraha

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi. Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
  18. JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake. Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru UoN kumlipa Mhitimu Shilingi milioni 3 baada ya kuondoa jina lake siku ya Mahafali

    Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023. Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kujua mimi ni wapekee

    Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi huchukua muda wangu kujifunza (I take my time to study). Kupitia kudadisi na kutaka kuijua dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…