aziz ki

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for the Burkina Faso national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Aziz Ki, baada ya Haji Manara kumalizwa na kausha damu, na wewe jipange, huna muda

    Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna. Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
  2. S

    Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt 🇪🇬 - Ali Maaloul 🇹🇳 | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa 🇿🇦 - Ronwen Williams 🇿🇦 | $320,000 | Mamelodi Sundowns 03: Angola 🇦🇴 - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de...
  3. Feitoto na Aziz ki katika sura zao za uzeeni.

    Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🤣
  4. U

    Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisa Mobetto

    Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisamobetto.
  5. U

    Picha mbalimbali Aziz Ki akiwa nyumbani kwake

    Wadau hamjamboni nyote?
  6. Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  7. Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

    Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga. "Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
  8. Kama huyu ni Aziz Ki, mimi ni nani mpaka nikatate tamaa ya maisha.

    Swali kuu ni je, Hamisa angekubali kuolewa kama Azizi angekuwa bado yupo hivi?
  9. Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

    Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend. Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
  10. Kumbe ndoa ya Azizi K ilifunguliwa hadi space huko X kujadiliwa na watu baki tu!

    Hii mitandao ya kijamii pamoja na manufaa mengi lakini pia imefanya kundi kubwa la watu duniani kuwa wajinga na kuenenda kama mazombi.
  11. JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  12. VIDEO: Wachezaji wa Yanga na Ali Kamwe kwenye party ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto

    Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto. Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
  13. Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

    Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
  14. Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

    Wakuu Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars. Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
  15. Mbona kwenye video za matukio ya ndoa ya Hamisa na Aziz Ki, Aziz Ki anaonekana kama zoba zoba fulani hivi kuliko akiwa uwanjani?

    Wakuu, Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima. Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie...
  16. Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

    Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe? Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
  17. VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

    Wakuu Fundi wa ball ashavuta jiko Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto. Soma, Pia Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30 VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
  18. S

    Msimuoneshe Aziz ki hii

    Nimetoa tu huko Twitter kwa wananzengo Lakini Kuna wananchi watoa comment kama huyu👇🤣
  19. Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  20. Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

    I am so proud of you Hamisa. This girl need to be studied. Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School) Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters. Wazazi tunao somesha watoto wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…