azam

  1. Unakubali zaidi channel gani kwe azam other channels?

    Kwenye azam other channel kuna channel zaidi 40 ambazo zinapatikana free na wingine wanalipia izi channel zinapatikana ata zuku decoder na CONTINENTAL DECODER Sibuka Abood tv Rabbi tv Tz Gospel Tv Top tv Africa swahil tv nk Je ni channel gani unaifatilia zaidi ?
  2. A

    KERO Azam Marine: Kuna udalali wa tiketi na vyoo ni vichafu!

    Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100, kisha wanaziuza kwa elfu 70 badala ya 35. Pia Azam boresheni vyoo vyenu; vimechoka kama vyoo vya...
  3. B

    Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya...
  4. Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

    Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
  5. Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

    Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
  6. Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  7. S

    Nazi za Azam na GSM zinatoka nje ya nchi, za kwetu hazitoshi au?

    Hello, niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee. Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji...
  8. Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  9. Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  10. Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge aliyekuwa anaifundisha Al Hilal

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu. Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
  11. Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  12. AZAM TV washinda kesi, wataendelea kuonesha vitasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni. Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
  13. Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

    Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
  14. Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  15. Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  16. Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  17. M

    Inakuwaje Mbeya City inakuwa na mashabiki wengi kuliko Azam na Singida?

    Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa...
  18. J

    Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

    Habari zenu wakubwa! Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package. Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua. Ila sasa kuna...
  19. Azam Media, ratiba za vipindi vyenu haiendani na mnachoonyesha

    Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu? Nimekaa hapa lisaa zima...
  20. Star tv na Azam king'amuzi leo, je ni hujuma dhidi ya BBC swahili?

    Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?! Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…