azam

  1. Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

    Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
  2. Huu mwaka nilipigika hasa. Mpaka nikaanza kuwa natumia Decoder ya Azam

    Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam. Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili. Ile decoder nliiipasua pasua since then na dish...
  3. M

    Wachambuzi lukuki kombe la dunia Azam: Sura nyingi hazitii moyo na hazifahamiki!

    Sura nyingi za wachambuzi wa kombe la dunia kupitia Azam TV mwaka huu hazitii moyo wala hazifahamiki. Tutegemee kuwa "bored" au? Tuwachambue hapa! Dr Leakey sawa, Kumwembe sawa, Meena sawa lakini Sura nyingi hazivutii kiuchambuzi
  4. Azam TV inawameza wengine

    Huku Mwanza DSTV NA STARTIMES wamefunga ofisi wamebakisha mawakala tu. Wamemezwa na Azam.
  5. Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  6. Je, mgeni wa Azam anayetangazwa ni nani?

    Ni nani huyu mgeni ambae atapokelewa kesho? Je ni Ayoub Rioba?
  7. Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
  8. rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  9. Azam pay, Sellcom , Snippe na Zeno pay zote na Intergrate within 24 hrs

    Hello mambers kama una mfumo , website au App unayo hitaji kuifanyia intergration ya malipo ya moja ya API mojawapo nio itaja hapo juu basi karibu sana PUSH USSD and automatic payme kwenye site kama e commerce na services
  10. Full Time: Yanga SC 2-1 Azam FC| Muungano Cup| New Amaan Complex| Yanga anafuzu Fainali

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Updates zote utazipata hapa! Dakika 8, Mwanamfalume anaweka goli safi kabisa
  11. Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:- "Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania. Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na...
  12. Azam Wasipoifunga Simba Nitafadhaika Sana

    .... kwa sababu nimebeti hela nyingi sana Azam ishinde mchezo huo.
  13. M

    Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1. Cha ajabu mechi ya yanga wameiacha ila mechi yao waliyobamizwa wameiondoa hii inamaanisha nini ina maana wanataka...
  14. Azam TV kwenye application sio poa

    Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
  15. P

    Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  16. Yanga na Azam wanacheza lini?

    Hivi Azam na yanga wanacheza lini?
  17. Azam Marine Zanzibar wekeni huduma ya Lipa namba

    Habari za asubuhi. Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba. Kilichoniponza ni kataka...
  18. Nataka kubadilisha kifurushi cha Azam 19,000 kwenda 28,000,

    Wakuu habari Nina shida moja hivi, nataka kubadilisha kifurushi cha azam 19,000 kwenda 28,000, nililipia 2 weeks iliyopita Je nafanyaje? najua 19,000 haijaisha Ila nataka niongezee ifike 28,000. Napia kujua imetumika kiasi gani nafanyaje?
  19. Wydad AC 2-0 Azam FC, Safari ya Wanalambalamba Michuano yha CAF imefikia mwisho Februari 15, 2026

    Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B. Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
  20. Compliance Officer Job at Azam Media – February 2026

    Job Summary Job Title: Compliance Officer The Compliance Officer is responsible for ensuring that the organisation maintains full compliance with applicable standards and regulatory requirements, including data protection obligations. The role oversees the effective implementation of the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…