azam

  1. Igoma - Mwanza: Jipatie king'amuzi cha Azam kwa 120,900 tu

    Habari za kuamka? Habari za mchana? Habari za jioni... Nauza Azam decoder hio kwa 120,900 tu. Igoma Mwanza. 0744 033 555
  2. S

    Mchezaji Akataa Milioni 100 za Azam ataka Milioni 250 kumvua gwanda

    Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu. Akijitolea mfano baada ya kufanya vizuri msimu uliopita ambapo alikuwa kinara wa mabao 16 na sasa ana 11...
  3. Azam TV hii huduma yao ya kuangalia online ni mbovu sana

    Habari wakuu, Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
  4. Hivi kuna mabadiliko kwenye Juice za Azam?

    Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic. Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
  5. Azam Ice Cream hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani

    Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open. Kama hazi operate, nimejifunza kitu. Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
  6. Azam inamtaka Ibenge

    Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
  7. UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  8. Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  9. TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  10. M

    Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  11. Azam Tv wamechoka kuonesha Mpira

    Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo. Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi...
  12. FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

    Mechi inaanza muda mfupi ujao Mchezo umeanza 5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani 7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango 25' Mwenda anampiga kazu kipa wa African Sports lakini hakuna wa kuuweka mpira wavuni 35' Goooo Baleke anaipatia Simba goli la...
  13. C

    Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma). Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
  14. D

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
  15. Kwanini magari ya Azam yakiwa na mizigo hayapiti kupima mzani?

    WanaJf, Salaam! Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS. Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito? M. Kabende China
  16. Tulinganishe hizi timu Azam fc vs vipes fc upande wa uwekezaji

    Vipers Azam
  17. Kuondolewa kwa chaneli nyingi za Azam bila taarifa mnajiona wajanja sana

    Asubuhi ya leo wakati naamka huwa nitautaratibu wa kuangalia baadhi ya chaneli za habari nikaanzai France English hakuna, fox hakuna. Nikashangaa kwanini na nimelipia. Zile za watoto vikatuni vyao hakuna wamebakiza tatu tu. Movies wameondoa action zote wamabakiza wachina tu na vitamthiria vya...
  18. Feisal Salum tamaa Yamponza, Azam yamkataa kwenye kesi yake

    Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku na kule kupata suluhu ya mkataba wake na timu ya wananchi (Yanga Sc). Baada ya kulazimisha kuvunja...
  19. M

    Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

    Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu. Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika. Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
  20. Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

    Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake. Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…