azam

  1. Mzungu ameshangaa kwanini Azam energy inauzwa hadharani

    https://www.facebook.com/100003279171374/posts/8187447298041161/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  2. Naitaji King'amuzi cha Azam na Dish lake

    Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara Niko Dar es salaam Mtu yoyote ambae anauza then nipm Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
  3. Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  4. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  5. Huyu Mchina wa kwenye Azama Marine, unamjua?

    Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake...
  6. M

    Simba msituangushe kama Azam na KMKM

    Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo. Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho. Nasema no no no and never .
  7. D

    Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  8. Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
  9. Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  10. Yusuph Kagoma kutimkia Azam

    Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake. Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
  11. EFM NDANI YA AZAM TV

    Habari za Majukumu na uzima Wakuu...... Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........? Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya AZAM TVsioni kabisa channel ya ETV Mwenye majibu tafadhali ... Natanguliza shukrani .
  12. Nini maana ya hili neno pale Azam sports

    Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
  13. E

    Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  14. Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

    Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi. Azam fc wamekata tamaa Wanacheza kama wachovu Kweli kweli. Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target...
  15. Azam TV na Tamthilia za Kigeni

    Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu. Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
  16. Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

    Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita. Beki wa kushoto...
  17. L

    Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
  18. Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  19. R

    Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  20. D

    popat c.e.o wa azam fc ni swala la muda kupewa majukumu mengine

    A lot of high-ranked members in Azam FC are calling him off the Azam FC project. He has proven to be a failure each and every season, despite creating a lot of talented youth teams. Possibly, he will be given the Azam FC youth team to run. As of today, Azam FC will be hunting for a new CEO to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…