auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  2. Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

    Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72. Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka. ----++++++ senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali...
  3. Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  4. Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
  5. Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  6. UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  7. Hawa viumbe wanakera sana

    Hivi wanakukera na wewe huko kiasi gani
  8. TANZIA Diwani wa CCM Kiziguzigu auawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali Kigoma

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
  9. Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  10. Msemaji wa Hamas auawa na Israel

    Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni...
  11. Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

    Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana.... The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on...
  12. General wa FARDC Auawa huko Uvira

    Generali Andrew Ehonza enzi za uuhai wake. Picha iliyopelekea kifo chake. Baada ya kupiga picha na raia wa Minembwe alikokuwa kiongozi, miaka ya nyuma, kwa sasa picha hii imekuja kutafusiliwa kama usaliti, ndo kilichopelekea kuuwawa na kundi la wazalendo.
  13. Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  14. Mbeya: Auawa akidaiwa kuiba simu aina ya TECNO POP2

    JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu. Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga...
  15. Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  16. Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  17. Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  18. Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  19. Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  20. Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…