amemuuliza Professor Assad kuwa, ingetokea tukarudisha miaka nyuma, angetengua ile kauli aliyodaiwa kuisema kuwa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu!?
Proffesor Assad amejibu -“Hakuna sehemu hata moja mimi nilisema Bunge ni dhaifu, yalikuwa maneno ya Marehemu Ndugai, nilisema...