askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  2. Askofu Bagonza: Mbona kanisa likijenga shule hamsemi linaingilia wizara ya elimu? Mbona likiombea mvua hatusemi linaingilia hali ya hewa?

    Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi "Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
  3. B

    Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

    Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika: KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi.. Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa. Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama...
  4. PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  5. PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  6. Askofu Bagonza: Kuna watu wanajiita 'Malaika' wakiwa na jambo ukatakiwa utoe ushirikiano, ukikubali umeisha, ukikataa umeisha

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA. Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
  7. PreGE2025 Askofu Bagonza: Nimepokea taarifa kuwa 'Wasiojulikana' watakuja kunimaliza

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino...
  8. Askofu Bagonza: Mitume 10 waliuawa kwa upanga, kamba, moto, mikuki. “UKWELI” hajawahi kuwa rafiki yetu, Iwezekane upone haraka Fr. Kitima

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. NANI ANAFUATA? Je ni hujuma? Kwa Nani? - Kwa Fr. Kitima? -Kwa Nchi yetu? Kwa Rais? Kwa Kanisa Katoliki? -Kwa Ukristo? -Kwa Chama cha Siasa? Kipi? - Kwa Wasiojulikana? -Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
  9. B

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Anaandika Mtumishi waMungu: UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni...
  10. Kumekucha! Kumekucha ! Huyu ni Askofu Bagonza

    Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
  11. Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  12. J

    PreGE2025 Askofu Bagonza awataka Watanzania kuukataa uzushi wa kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki

    Hakika Askofu Kalikawe Bagonza ametupa jiwe gizani. Na kauli hiyo ni mwiba mchungu kwa wazushi wengi nchini kwetu.
  13. PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama wanajua alipo na hawasemi ni kosa

    Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu baada ya viongozi wa chama hicho baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika...
  14. Askofu Bagonza: Siku ya usaliti wa Yuda Iskariot, Kujifanya huna upande (neutral) katika mazingira yenye dhuluma na uonevu. Ni usaliti

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) == SIKU YA USALITI WA YUDA ISKARIOT JUMATANO ya mwisho katika kwaresima ndiyo hutukumbusha usaliti wa Yuda Iskarioti kwa Bwana Yesu. Tukisoma Mathayo 26: 14-16, tunasikia Yuda “aliwaendea” wakuu wa Makuhani na kuwauliza wamlipe kiasi gani ili...
  15. PreGE2025 Askofu Bagonza: Tumvumilie aliyesema atakinukisha kama tulivyomvumilia aliyesingizia kuna Ebola na Mpox

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake, Askofu Bagonza aligusia kuhusu kuvumiliwa kwa Makalla na maisha yakaendelea kutokana kauli yake ya...
  16. PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

    Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria. Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya; 4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri...
  17. PreGE2025 Askofu Bagonza: Tuache kuchezea neno “uhaini” Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini

    RESILIENCE ni USTAHIMILIVU Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE (Ustahimilivu). Naelewa, msalani hatuendi na njaa bado inauma! Naelewa, ngedere wapo wanaocheka msitu...
  18. Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  19. Askofu Bagonza: CCM dhaifu na upinzani dhaifu ni chanzo cha taifa lililojaa machawa

    Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama. 3. CCM dhaifu...
  20. Askofu Bagonza: Musiba acha uchonganishi wako, huyu si Rais wako peke yako kama yule, huyu wetu sote

    NI KWELI KABISA 1. Ni kweli kabisa, Hotuba ya Mh. Rais siku ya Idd ilikuwa na nia njema. 2. Ni kweli kabisa, si wote waliotajwa na Mwanaharakati Huru Musiba, walikuwa wakijibu hotuba hiyo. 3. Ni kweli kabisa, kama kuna waliojibu hotuba hiyo, walifanya kwa nia njema. 4. Na ni kweli kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…