Saa chache baada ya kuwepo taarifa za kutishiwa kifo, au kupotezwa kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, kulikotokana na andiko lake katika ukurasa wake wa twitter, Wino Tanzania imefanya mahojiano na Askofu huyo na kwanza ilimuuliza kuhusu madai...