askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Askari: Natoa Amri, ng'ombe wako wakivuka mpaka utarudi na ulemavu

    "Ndio, ni kubwa sana. Hizi ng'ombe msiwe mmezipata hizi kwa taarifa yenu. Msiwe mmezipata. Natoa amri. Mimi ndio mwenye huu mpaka. Mimi naanzia Serengeti kule Ikoma naishia Sirari. Sasa, kuanzia leo, mnaona hii barabara ya ulinzi inayopita, hii barabara ya ulinzi. Usivuke na ng'ombe zako...
  2. C

    Ufaransa: Askari ameanguka ghafla wakati wa mapokezi ya Rais wa Slovakia

    Mmoja wa askari wa gwaride la heshima alianguka ghafla wakati wa mapokezi rasmi ya Rais wa Slovakia, Peter Pellegrini, katika Ikulu ya Elysee jijini Paris, Ufaransa. Pellegrini alikuwa ziarani nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Emmanuel Macron, wakati tukio hilo...
  3. M

    Wananchi Wakarewa na Muonekano wa Kimabavu wa Askari mitaani

    Katika pitapita yangu mitaani na kwa kuongea na raia wengi kwenye bajaji na madaladala, Wananchi wengi wameonekana Kukerwa na kitendo cua kusambaza Askari waliokaa kivita na masilaha mazitomazito mitaani. Katika mazungumzo ya kawaida kwenye bajaji, raia wakawa wanahoji kuwa sasa hayo mabunduki...
  4. N

    Wadogo zangu mliozaliwa 2000s na kuhitimu kidato cha 4 shule za kata, kuna askari Police anaitwa OC-CID (Mkuu wa Upelelezi). Mnamjua??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msije kusema sikuwaambia mapema. Wadogo zangu wa shule za kata, ninaangalia sana videos zenu zinazo trend kule Facebook na Instagram mkifurahia kuwa huru na kurudi mitaani kufanya mambo yenu freely na kwa jinsi mtakavyojisikia (Probably Future Delinquent Juveniles)...
  5. Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
  6. Mpelelezi: Daktari Kahyoza alikiri kumshambulia trafiki ajenti Andrew

    Mpelelezi wa kesi inayomkabili daktari wa binadamu, Conrad Kahyoza, ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa mshtakiwa huyo alikiri kumshambulia askari wa Usalama Barabarani, F.8886 Sajenti Andrew, katika mahojiano ya polisi. Koplo Samwel wa Kituo cha Polisi Oysterbay, ambaye ni shahidi...
  7. M

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  8. Askari 2 wa Israel wauwawa huko Judea & samaria!!

    Waisraeli 2 wamefariki kutokana na majeraha yao kufuatia shambulio la kigaidi katika Makutano ya Judea kwenye Njia ya 35, karibu na Hebron, huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) huku wengine 3 wakijeruhiwa, akiwemo 1 aliyejeruhiwa kwa kiasi na 2 aliyejeruhiwa kidogo. Magaidi wawili wa...
  9. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Askari wanatumia Mgambo kubambikia kesi vijana Mtaa wa Charambe Magengeni (Dar)

    Hapa Charambe Magengeni kuna baadhi ya Askari Polisi wa Kituo cha Maturubai wanaodaiwa kushirikiana na mgambo kuwakamata vijana wa mtaa wetu na kuwabambikia kesi. Inadaiwa kuwa vijana wasipotoa pesa, hufungwa pingu na kupelekwa Kituo cha Maturubai. Baada ya kufikishwa kituoni, baadhi ya askari...
  10. M

    Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
  11. Je serikali imebadili uniform za askari polisi kimyakimya?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali. Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao. Sasa awamu hii, naona...
  12. Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

    Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana. Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
  13. Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  14. Kuna nini jijini Arusha magari ya delaya na askari wametapakaa mitaani?

    Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
  15. Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  16. Askari feki wakamatwa wakiwa na AK 47 bandia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na usalama barabarani, na kuendelea kushirikisha wananchi katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu...
  17. M

    Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  18. Video: Askari akivutana na Mwananchi

    Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi. Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.
  19. Askari wa TAWA auwawa

    Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini...
  20. Tabora: Watu 6 ikiwemo askari wauawa, silaha ya kivita AK-47 yachukuliwa

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…