asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Serikali iondoe usiri wa zoezi la SENSA ili ifanikishe kwa asilimia 100

    Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe. Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa. Zoezi hili Lina manufaa mengi Sana na linaigharimu serikali yetu mamilioni ya pesa. Hizo pesa ni kodi zetu na endapo zoezi...
  2. Waziri asema kiwango cha udumavu kwa Watoto Mkoani Iringa ni 47%

    Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
  3. Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

    Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo. Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia...
  4. N

    Maneno ya Hemedi Kivuyo yametimia kwa 100%. Taasisi imeyavaa matatizo yake, Hersi ni mtu wa ovyo ovyo

    Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba ushajiuliza angetoa kauli hiyo akiwa yanga ingekuwaje? kwa uongozi huu wa Hersi na manara ni kama PWAGU NA PWAGUZI...
  5. Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

    Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme. Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu... Mfano kwenye engine tu peke yake, Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor] Mfumo wa mafuta una umeme...
  6. Tunisia: Katiba Mpya yapitishwa kwa asilimia 96.4

    Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo - Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
  7. Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo, Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu. Mnamo Mwaka 2015 Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma...
  8. U

    Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
  9. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  10. M

    Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

    Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
  11. Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

    Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu, Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa, RC Kafulila anasema...
  12. Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  13. Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  14. Hivi faida ya bidhaa fulani inatakiwa iwe asilimia ngapi ya mtaji?

    Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi! Mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni asilimia ngapi ya mtaji? Yaani ununue kitu buku, kisha uuze buku mbili au uuze buku miambili au...
  15. Ni asilimia ngapi ya bajeti huwa inatekelezwa?

    Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
  16. Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

    Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium. Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na...
  17. M

    Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  18. L

    Mapato ya chai ya Kenya yaongezeka kwa asilimia 10 katika robo ya kwanza ya mwaka huu

    Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
  19. L

    Idadi ya watalii wa Kenya yavuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022

    Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
  20. M

    Na hili la asilimia 33% mafao uzeeni badala ya asilimia 25% (kwa iliyokuwa PPF na NSSF) na badala ya asilimia 50% (kwa iliyokuwa PSPF na LAPF)

    Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…