asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  2. E

    Ukweli mchungu : Karibu Asilimia 50 % ya wanawake wanajihusisha na biashara ya kujiuza

    Si wake za watu ,si single mother ,si single women, si under 18 , si single girls , si watumishi wa Mungu ,si waajiriwa , si wasio na kazi , hali ni mbaya . Asilimia kubwa sana ya wanawake wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kujipatia mali au kipato kwa kutumia miili yao . Chungeni...
  3. Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.

    Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.
  4. Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa #COP31

    Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa, na milioni 600 hawana umeme kabisa. Ukubwa wa changamoto hii ndio unaofanya uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika COP31 kuwa na uzito mkubwa kwa Tanzania na bara zima la Afrika. #TanzaniaCOP31...
  5. Rais Samia akamilisha ujenzi wa kituo cha nishati jadidifu ATC wafikia asilimia 99

    Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
  6. O

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  7. O

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  8. W

    Ifakara, mradi wa maji miji 28, kutoa hali ya huduma asilimia 42 hadi 100

    Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42. Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
  9. Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

    Ukiwa Kenya kutokana na ufinyu wa maeneo na kila mtu kutaka kujiegesha penye mkusanyiko wa watu wengi basi ni Nairobi na maeneo mengine. Ujenzi wa Kenya umejaa tamaa kuanzia mmiliki, engineer,mtoa kibari na mwisho mafundi. Hizi habari za kuporomoka majengo huko ni za kawaida na mengine mpaka...
  10. H

    Tanzania yazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa asilimia 33

    TANZANIA YAZALISHA CHAKULA KINACHOZIDI MAHITAJI YAKE KWA ASILIMIA 33 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania inazalisha chakula kinachozidi mahitaji yake kwa takribani asilimia 33, ikiwa na ziada ya zaidi ya tani milioni 6.6 inayosaidia kukidhi mahitaji ya nchi jirani. Amesema hayo...
  11. SERIKALI YACHANGIA ASILIMIA 75 YA ONGEZEKO LA KILIMO CHA UMWAGILIAJI NCHINI

    Sekta ya umwagiliaji Tanzania imeendelea kukua kwa kasi, huku eneo linalohudumiwa na kilimo cha umwagiliaji likiongezeka kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 727,281 mwaka 2022, na kufikia hekta 983,466 mwaka 2025 ongezeko la takriban asilimia 75 ndani ya miaka mitano. Serikali inalenga...
  12. M

    Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  13. NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  14. Ukiwaza dunia imekosewa au haijakamilika ujue tayari umeyabananga. Dunia iko perfect asilimia mia moja.

    UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika. Imekosewa. Au sehemu sahihi ujue tayari keshaingizwa kingi. Yupo ndani ya mifumo ya wajanja na wahuni...
  15. Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

    Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga. Ukitazama ni ubunifu mzuri Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
  16. Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

    “Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
  17. M

    Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  18. MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
  19. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  20. V

    Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…