app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. Agro mifugo App

    Timu ya Agro Mifugo imezindua rasmi application yao Bora kwa ajili ya wakulima na wafugaji kwa kujua zaidi bonyeza Agro Mifugo
  2. App ya CRDB simbaking kwangu haifanyi kazi kwenye device za Android je Kuna tatizo la kiufundi?

    Watu wa CRDB naomba ufafanuzi kuhusu App yenu ya CRDB kutofanya kazi
  3. Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  4. APP developer on need

    Developer wa App kwa OS Zote anicheck PM tafadhali.
  5. Tumia App ya Infinity Pesa Tracker Kufuatilia Matumizi yako

    Wakuu nimeunda hii App ya Infinity Pesa Tracker. Inakuruhusu kuunda budget, kuonyesha vyanzo vya ela na pesa iliyoingia, kuweka kila matumizi unayofanya, kuweka malengo ya savingi na kuyafuatilia. Haina matangazo na ni bure kabisa na kila utachoweka kitakuwa backedup kwenye account yako ili...
  6. Ni App gani unayo kwenye simu lakini huitumii kabisa?

    Mimi kuna hii App aliweka shangazi inaitwa Snap Chat Naionaga tu kwenye simu lakini sijawahi kuitumia kabisa
  7. Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado๐Ÿคฃ Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  8. NAOMBA MSAADA: WhatsApp Cloud API (Access Token, Phone Number ID na App Secret)

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa WhatsApp Cloud API na Meta Developers. Nimejaribu mara nyingi ku-set up WhatsApp Cloud API kwa matumizi yangu binafsi, lakini nimekwama kupata Access Token, Phone Number ID na App Secret kwa sababu Meta ime-restrict account yangu. Niliomba...
  9. S

    Msaada mwenye link ya moviebox app iliyocraked atume

    Kama kichwa kinavyoonyesha hapo hii ni baada ya new updates kuwa sumbufu pia kama kuna app nyingine bora zaidi wasilisha ...weekend bila muvi ni michosho
  10. ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐Ÿ’ก. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  11. Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa. Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda...
  12. Kwa mahitaji ya website na mobile app tutafute

    Tuna design website na app za simu kwa ubora wa hali ya juu. Pia tunatoa huduma ya hosting Tupigie 0766771788
  13. Tigo App yangu imedukuliwa, Wengine vipi?

    Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction. Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
  14. App ipi ya kuangalia live football?

    Habari wakuu? Nauliza ni App ipi ya free ninayo weza kuangalia mpira kwenye smart tv? natanguliza shukrani.
  15. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  16. ๐Ÿ“ฑ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ฒ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ฐ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ *#*#๐Ÿฐ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿฒ#*#*!

    ๐Ÿ”ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โŒ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐Ÿ“ถ โš ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  17. Ombi kwa Uongozi/Tech Team: Rudisheni au Wekeni Hiari ya Kutumia App ya Zamani (Legacy API

    Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums. Kwa siku chache zilizopita...
  18. Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  19. Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  20. App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Wakuu, Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums! Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features): Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ