android

  1. Google Pixel imeweka Mfumo wa App lock baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  2. W

    Uzi maalum kwa ajili ya tetesi mpya za One UI 9.5.

    Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa. Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo. Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
  3. Mwisho wa Google Assistant unaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  4. Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  5. TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  6. List ya Samsung zitakazo pokea mfumo mpya na ratiba kamili

    Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni! Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. ๐Ÿคฏ Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu: MEIโ€“JUNI 2026...
  7. Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

    Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote. Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes &...
  8. Naomba msaada wa Hali na mali. App ya android niangalie mechi za leo WC

    Sikufanikiwa kuangalia mechi hata Moja, Nime download za yassine wapi. Sijui kombe hili Lina nini Naomba app yyt niangalie kwenye mobile. Sitaki za streaming nataka live Za yaccine sijui nafeli wapi? Ona hii
  9. E

    ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  10. R

    Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) โ€“ Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  11. Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
  12. Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  13. Audio player nzuri kwa simu za Android

    Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
  14. Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  15. Google imeleta feature mpya inaitwa Simu ya dharura kwa watumiaji wa Android

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  16. Kampuni ya Jolla imezindua simu inayotumia mfumo wa Linux

    Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro โ‚ฌ499 mpaka kufikia Euro โ‚ฌ599. Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi kwa kutengeneza Mifumo endeshi wa Sailfish Os, ambao kwa sasa wamehamua kuweza kutengeneza kwa...
  17. Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  18. Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  19. ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ฐ๐—ฎ๐—น๐—น

    Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android. Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios 26 , lakini mpaka leo ๐Ÿ˜Œ mtumiaji wa simu ya iphone akipigiwa simu hakuna sehemu ya kukata ๐Ÿ˜ au...
  20. Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ