android

  1. ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

    Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! ๐Ÿ‘€ WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji. ๐Ÿ’‘ Ukiweka Everyone โ€“ Kila mtu anaweza kuona namba yako. ๐Ÿ“ž...
  2. App ya CRDB simbaking kwangu haifanyi kazi kwenye device za Android je Kuna tatizo la kiufundi?

    Watu wa CRDB naomba ufafanuzi kuhusu App yenu ya CRDB kutofanya kazi
  3. ๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya watumiaji wa Android kukumbana na tatizo la Boot Loop baada ya kufanya update ya Google Play System na simu kujifanyia Restart. Tatizo hili linaweza kuifanya simu yako ishindwe kuwaka kikamilifu, badala yake kubaki kwenye logo na kujirudia...
  4. ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐Ÿ‘‹

    Dear Google Do better Please ๐Ÿ’ก Google bhana sijui anajionaje, Google imeongeza uwezo wa kubadilisha muonekano wa App Icons kwenye simu za Pixel kupitia Custom Icon Styles, lakini inaonekana si kila mtu ameridhishwa na matokeo yake! ๐Ÿ‘€ Baadhi ya mitindo ya icons inaonekana kutokuwa na mvuto...
  5. Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  6. ๐—›izi hapa Websites ๐Ÿฑ za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! ๐Ÿคฏ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ฅ Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  7. Kwanini kwasasa flagship za android smartphones imekuwa bei ya juu kuliko flagship za Iphone?

    Kipindi cha nyuma, simu za Iphone zilikuwa ni za moto katika bei, kuipata lazima upate connections na wanaofanya kazi kwa wadosi ili uuziwe kwa bei nafuu, ilikuwa ni simu inayouzwa kwa bei kubwa, kulinganisha na Android. Ila kwasasa flagship za android ndizo zimekuwa zinauzwa bei kubwa mno...
  8. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  9. Samsung kuachana na Android

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  10. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  11. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  12. Kuna mtu alishapata simu ya Android iliyopotea kwa kuitrack location.?

    Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni. Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
  13. ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—บ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. ๐ŸŽจ Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  14. Huenda ukaanza kulipia app kwenye Android yako kwa jinsi unavyotumia

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  15. ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  16. ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐Ÿ’ก. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  17. ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  18. Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  19. Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  20. Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail๐Ÿ‘‹. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Gmail sasa inaonyesha โ€œCopy codeโ€ โ€” bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja ๐Ÿ“‹โšก...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ