amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkatoliki kesho wahi Misa Takatifu ya Asubuhi kuanza vema mfungo kwa ajili ya Haki na Amani ya Nchi yetu

    Tumsifu Yesu Kristu Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani Azichome roho na mioyo ya wote wanao gandamiza haki na kupoteza au kuweka amani yetu rehani...awachome kwa moto mkali wa Mungu Roho...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

    Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea. Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran kuliko tulivyoshuhudia katika siku nane zilizopita," Rais wa Marekani Donald Trump anasema katika hotuba...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole. Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza. Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

    Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂 Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k. Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
  6. JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  8. JamiiForums Tanzania TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  9. JamiiForums Tanzania Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura Uwanja wa Abeid Amani Karume baada ya hitilafu katika mfumo wa gia

    Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar ilifanya kutua kwa dharura kwa hali ya kushtua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
  10. JamiiForums Tanzania Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

    Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
  11. JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  12. JamiiForums Tanzania Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi. Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa. Hayo yamebainishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

    Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi . Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kujiandikisha kupiga kura na hatimae kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria...
  18. JamiiForums Tanzania Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Haya ya kwa wasiokuwa waislam. Waislam watu wa amani sasa

    Kuna kanisa leo kutwa nzima wanapiga kwaya tu tena kwa kutumia sauti za nje. Wenyewe wapo majumbani lkn wameweka flush, licha ya leo.kuwa eid Waislam watu wa amani sana, maana uvumulivu kwa dini nyengine haupo
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…