amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  2. JamiiForums Tanzania Inaonekana kama ubinafsi mpaka pale utakapoona kiasi cha amani ambacho ushauri huu utakurudishia

    Huu ni ushauri murua wa kiroho utakaokuzindua hisia 1. Kuwa mbinafsi na nguvu/nishati yako. Mimi Ilinichukua miaka mingi kujifunza hili: Acha kuwa entatain watu wanaokupa makombo tu. Kilichokusudiwa kwa ajili yako hakitahitaji kutumia ili kije kwako, kwa hiyo ikiwa hakiendi vyema...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni bora kuwa na pesa nyingi bila amani au kuwa na kipato cha kawaida lakini maisha yana utulivu?

    Ndugu zangu, kuna jambo ningependa niongee hapa. Yani unakuta mtu ana kipato kikubwa, ana uwezo wa kununua vitu vingi anavyotaka na anaonekana kufanikiwa kimaisha. Lakini kila siku anaishi kwenye msongo wa mawazo, hana muda wa kupumzika, mahusiano yake hayana utulivu na wakati mwingine...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Prof Geoffrey Mmari, ENCYCLOPEDIA

    Pumzika kwa Amani, Prof, Mmari. Full Professor. Sio hawa wa Jalalani wa Mchongo! Nilikuwa mwanafunzi wako 1983! Pumzika kwa Amani.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  7. JamiiForums Tanzania Amani na utulivu kivutio cha fursa ya mikutano ya kimataifa nchini

    Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa. Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tokea nichukue maamuzi haya, kwa sasa Nina amani sana na utulivu

    Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana. Sikilizeni vijana, acheni kufuata...
  9. JamiiForums Tanzania Tulizike na tunachokipata: Utajiri wa kwanza ni amani ya moyo

    Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri. Tunaamka asubuhi kwenda kutafuta pesa, tunafanya kazi kwa bidii, tunahangaika kutafuta maisha bora...
  10. JamiiForums Tanzania Trump akerwa kunyimwa Tuzo ya Amani ya Nobel, asema tuzo hiyo imepoteza hadhi yake

    Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ameelezea kutoridhishwa kwake na uamuzi wa Kamati ya Nobel kutomtunuku Tuzo ya Amani ya Nobel, akielezea uteuzi wa mwaka huu kuwa "aibu na fedheha". Kamati hiyo ilimtangaza jaji wa zamani wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, Navi Pillay, kuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

    Habari Wakuu, Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu. Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

    Habari Wakuu, Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu. Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekoma kupiga mwanamke bora nimemwacha aende kwa amani., majuto ni mjukuu.

    Kila nikifikiria yaliyonikuta ktk maisha yng ya ndoa Miaka kadhaa iliyopita, najiona nilifanya uamuzi sahihi sana kumwacha aende kwa amani. Nikiwa na umri wa miaka 25 nilibahatika kuoa msichana mmoja wa kitanga,,sijawahi kumpenda mwanamke kama nilivyompenda huyu binti wa kuitwa Mwanamkasi. Baada...
  15. JamiiForums Tanzania KAJALA: SIPATI MWANAUME, HAPANA NAPATA ILA NIKIWA NA HARMO NAKUA NA AMANI SANA

    Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI SANA na una ona kawaida acheni tu kataa ndoa, na mashoga mtupishe kidogo, Kwa nini unarudiana na...
  16. JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

    Some things are better left unseen. Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before. You...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi, Guterres wazungumzia mageuzi ya un na amani duniani

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja huo jijini New York, Marekani, tarehe 25 Septemba 2026, ambapo amempongeza kwa uongozi wake na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…