albert chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Albert Chalamila: Sitaki Makanisa kila Mahali

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema hataki kuona makanisa yakijengwa au kuanzishwa kila mahali bila utaratibu maalumu, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kusababisha kelele na usumbufu kwa wakazi. "Sasa hivi ukiamka tu Dar unakuta hapa kuna kanisa sijui nani anasema tu ameota...
  2. Albert Chalamila: Mkiona magari ya Polisi msiogope, ni jukumu letu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kutokuwa na hofu wanapoyaona magari ya vyombo vya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya jiji, akieleza kuwa uwepo wake ni sehemu ya hatua za kuendelea kulinda amani, usalama na utulivu wa mkoa huo. Chalamila amesema Dar...
  3. RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana wakaujua uhalisia wao. Akizungumza kwenye hitma ya marehemu Hafidh Ameir aliyekuwa mume wa Rais Samia...
  4. Dar yenye heshima, hadhi inawezekana

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametamka kuwa lazima wairejeshe Dar es Salaam yenye hadhi, heshima na kwamba kila kitu kikae mahali pake. Kwa mujibu wa Chalamila, hali ya uholela kwa kila kitu Dar es Salaam imetosha na aliahidi katika hili hataki mzaha. Ametamka haya baada ya...
  5. M

    Hongera Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Albert Chalamila kwa kutoa amri mabasi yote ya safari za mkoani yakapaki kwenye Stendi ya Magufuli

    Habarini wana JamiiForums. Nimeleta uzi huuu kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Mh Albert Chalamila kwa kutoa amri kuhusu Mabasi yote yanayofanya safari za mikoani kutoka kwenye stendi bubu za Shekilango,Urafiki,Riverside,Manzese,Magomeni,Fire n.k kuhakikisha yanapakia na kushusha abiria...
  6. Wamiliki wa mabasi wapewa wiki moja kurejea stendi ya Magufuli

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya...
  7. RC Chalamila: Kama unamiliki Silaha isivyo halali isalimishe haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wamiliki wa silaha kuhakikisha wanakamilisha vibali na taratibu zote za kisheria za umiliki wa silaha zao kabla ya Agosti 30, 2026, akitangaza kuanza kwa operesheni maalum ya ukaguzi wa silaha baada ya muda huo. Akizungumza na Waandishi...
  8. R

    RC Chalamila aagiza mmiliki na Mjenzi wa Ghorofa Masaki kukamatwa kwa kujenga ghorofa 13 badala ya 6

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kukamatwa kwa mmiliki na mjenzi wa jengo moja lililopo Masaki, baada ya kubainika kuwa walijenga ghorofa 13 badala ya ghorofa sita zilizoidhinishwa kwenye kibali cha ujenzi. Akizungumza leo Agosti 6, 2026, wakati wa ziara ya ukaguzi wa...
  9. RC Chalamila: Haiwezekani Watu wakakesha kwenye Ibada au Baa kila siku, uzalishaji utafanyika Saa ngapi?

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Akizungumza kwenye kikao na baadhi ya wamiliki na wafanyabiashara wakubwa wa Baa...
  10. Chalamila: Kuna vijana wanataka kuchoma bandari kavu, kisa foleni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo. Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika...
  11. RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata leo Juni 15, 2026 amesema; "Kwasababu mmeona pia hata kwenye mitandao, baadhi ya watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye mikoa yetu. "Na kwa bahati mbaya sana, nguvu ambayo huwa inatumika...
  12. R

    Chalamila: Mkishakuwa na majawabu kabla ni kikwazo kuharakisha uchunguzi, nimeona kwenye comment 'aliyefanya hivyo ni Mafwele'

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume, leo Mei 25, 2026, amezungumzia Matukio ya Utekaji na Mauaji akigusia Mauaji ya Mchina aliyedaiwa kuuawa na Walinzi wake pamoja na tukio la kutekwa kwa Msaidizi wa Tundu Lissu, David...
  13. M

    Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  14. Chalamila: LATRA isikilize maoni ya wamiliki wa magari

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) kusikiliza maoni ya wamiliki wa magari baada ya kupanda kwa gharama za mafuta. Chanzo: Swahili Times
  15. B

    Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

    Apr 10, 2026 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA" https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero...
  16. Chalamila: Rais Samia ni kama nabii

    "Nabii" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mjumbe au msemaji kwa niaba ya Mungu Chalamila anamuweka samia kundi moja na watu kama Yohana Mbatizaji na wakina Musa. Hapa ndio wanaosema hakuna Mungu wanapokua na point, Kama kweli Mungu yupo, kwa damu aliomwaga anaruhusu vipi hizi dharau...
  17. RC Chalamila: Sitamchekea mkandarasi yeyote, naweza kutumia makofi, Sisi sio wajinga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mwendokasi Moroco hadi Mwenge anoesha kutoridhiswa na kasi mkandarasi na kumtaka kuharakisha mradi huo na kukamilika kwa kiwango ili kupunguza changamoto kwa wakazi wa mkoa huo. Chalamila ameyasema...
  18. RC Chalamila: Hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa kubaini chanzo na uhalali wa fedha za 'Mchina'

    RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo. Pia Soma: Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na...
  19. PostGE2025 RC Chalamila: Hatukusema Wananchi wakae ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
  20. B

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…