akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. Kwa akili za huyu rais wa TAHLISO ni sahihi wazee kuendelea kulamba teuzi

    Kijana kapata nafasi ya kuongea na Rais akaomba kwenda kutukana wapinzani. Ni zaidi ya uwendawazimu. Rais wa TAHLISO kakosea sana. Hii kauli yake haifai kwenye nchi ya kistaarabu kama yetu. Halafu TAHLISO sio chama cha kisiasa wala idara ya CCM. Huyu angejikita kwenye malengo ya TAHLISO na hizo...
  2. Wanawake sijui kwanini hamuelewi…

    Nshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana. Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
  3. Trump ni boya, acha wenye akili tumwambie ukweli

    Niaje waungwana Kabla ya biashara ya utumwa, pamoja na ukoloni kuanza hakuna mwafrika hata moja aliekuwa na ndoto au fikra za kwenda kuishi Ulaya. Ni wazungu ndio walioanza kutufuata sisi kwetu Afrika ili kutuibia, kututesa, kutudhalilisha na hata kutuua. Kama hiyo haitoshi wazungu hao hao...
  4. Hivi elimu ya sasa imefeli au akili zetu zimegoma? Mbona zamani walisoma vitabu viwili tu na wakabadilisha dunia?

    Wakuu salama! Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni. Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
  5. Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

    Na zaidi sana, kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
  6. Katika Dunia hii ukianza kujifurahisha, na kuacha kuwafurahishwa wengine unaonekana kama umerukwa na akili, mwaka 2010 niliitwa kichaa 😅

    Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
  7. Ujasusi ndani ya Shetani rudisha akili zetu Afrika.

    SHETANI, RUDISHA AKILI ZETU AFRIKA Je, muuaji anaweza kuikimbia historia yake, kuushinda ulimwengu wa giza na kuupata tena ubinadamu alioupoteza? Akiwa bado mtoto, Hamza anaachwa katika kituo cha kulelea watoto yatima kwa sababu za usalama wa maisha yake. Hata hivyo, kabla hajapata nafasi ya...
  8. K

    Vijana wa CCM akili zao duni

    Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
  9. Mr T Touch ana Chuki au ni matatizo ya Afya ya akili?

    Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
  10. Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  11. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

    Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
  12. Wahenga; ishini nao kwa akili!

    MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA MASHARTI (NO STRINGS ATTACHED) NI MAMA YAKO, NA HATA YEYE ANAKUPENDA KWA SABABU WEWE NI DAMU YAKE! MAKE NO MISTAKE ABOUT IT! Usijidanganye kwamba utapendwa hapa duniani bila sababu yoyote. Kila mtu anakuona kama fursa kwa namna fulani. Hakikisha wanavyonufaika kupitia...
  13. Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  14. Akili za wanawake ni changamoto!

  15. N

    Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe

    Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe
  16. U

    Single mother Tuwe makini sana wazee

    Ni hatari sana Epuka single mother Tuwe makini sana wazee
  17. Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

    Tuachane na musoma,mara na geita tuje arusha. Kwa steji waliyofika mnaona tuwape asilimia ngapi. Ukigusa mitandao ya kijamii kila siku ni huko arusha.
  18. S

    Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  19. Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  20. Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Nimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe. Ninavyo kuambia mpaka muda huu, kaka yangu ni Kichaa kabisa anaokota Makopo huko kijijini kwetu na sababu kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…